Maneno kama haya kutoka kwa girl unayechati naye yanamanisha nini??

sio ajabu

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
217
138
msyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
mxeuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Wadau nisaidieni maana yake ili nijue nisije kuwa naendelea kumwagilia ua lililokufa !!!!
pleasee msaaada wadau

hints

hawa girls wa hivi wanauwaji kabisa
 
Bado hawajakua wala kukomaa kiakili ndugu zao wa karibu ni wenye uandishi wa x badala aya s p badala ya poa k badala ya okay sw badala ya sawa baba yao ni mmoja mama yao tofauti.
 
hapo anakusonya
tembelea wakala wa m-pesa uliye karibu naye mtumie huyo dada noti za kutosha nakuhakikishia meseji za hivyo hautaziona tena
otherwise endelea kung'aa sharubu na kisimu chako cha itel
never take me seriously
 
saa 6 usiku huu nikikosa jibu la maana napote hata mawasiliano nae nafuta kabisa ili nianze moja siku inayofuata
 
Bado hawajakua wala kukomaa kiakili ndugu zao wa karibu ni wenye uandishi wa x badala aya s p badala ya poa k badala ya okay sw badala ya sawa baba yao ni mmoja mama yao tofauti.
kweli aseeee nahisi hvi
 
Sio ajabu nikiwakumbusha wanafunzi wenzangu kuwa kesho form four wataanza paper.si wengine wa form three na two tubakie home tu
 
Bado hawajakua wala kukomaa kiakili ndugu zao wa karibu ni wenye uandishi wa x badala aya s p badala ya poa k badala ya okay sw badala ya sawa baba yao ni mmoja mama yao tofauti.
Aisee nawachukia wa hivyo, yaani mtu akiandika msg hivyo tu namuweke kwenye mrengo tofauti sana.
 
Back
Top Bottom