Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ZOEZI LINAENDELEA JAMANI TUONDOE HUU UGONJWA
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nawasalimuni nyote wadogo kwa wakubwa! kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina rafiki yangu (coreworker) anataka kuoa, Mchumba wake ni mchaga wa kirua ila amezaliwa na kukulia Dar, naomba kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ni kama nina mkosi. Maana nina mapenzi ya dhati mpaka najiogopa. Lakini sijawahi kupata mahusiano ya dhati kama ambavyo mimi ninayo ni kuumizwa tu. Wanaume nyie, shikamoni, nina ex boyfriend...
51 Reactions
515 Replies
48K Views
Heshima yenu wanajamvi! Nikiri kuwa mwanzoni kabisa mwa mahusiano yetu na mama watoto nilikuwa mchepukaji mdogo mdogo na kuna mchepuko mmoja akapata mimba, ukatokea ugomvi kati yangu na njia...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Sio mwanamke au mwanaume kama ni mchepukaji basi semina na vikao vya wiki moja au mwezi na zaidi ni burudani kwao. Hii ni upenyo au njia ya wao kuvinjari, Mwanamke au mwanaume anakaa nje ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nataka tuwashukuru wale hatukupata nafasi ya kuwashukuru kwa waliyofanya/support maisha yangu/yetu kwa namna moja ama nyingine. Nikijitafakari hatua hiihapa nilipo, nimepita kwa mikono ya...
0 Reactions
2 Replies
629 Views
Iwe jioni au usiku hii ndio black and white ya maisha ya mjini Iko wazi hakuna business inayolipa mjini kama kuuza papuchi directly or indirectly. Kazi yenyewe raha kweli, unatumiwa pesa ya kuja...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Enzi hizo niko na wife. Nishamuaga tangia siku tatu nyuma kua Jumapili nitasafari kikazi kwenda Morogoro kwa muda wa siku tatu. Huku mimi nilikua nishapanga na sweetie wangu Mboni kwamba tunaenda...
70 Reactions
397 Replies
29K Views
Habari za jioni wakuu. Mwenye uzoefu ni mkubwa kuliko wewe, hata kama umri umemzidi. Haya basi nishauri wewe mwenye uzoefu. Ni hivi, niliwahi kuishi mkoa fulani miaka 3 iliyopita na mwaka jana...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Mimi namshukuru sana MWENYEZI MUNGU Kwani amenijalia maisha siyo mazuri sana wala mabaya sana. Kanipa mke katujaalia watoto 4 kakibanda ka kujisitiri na wanangu. Lakini nikaona pale ukweni hapa...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwa jinsi niliyoyaona Jana nilishindwa kuamini, nilipigiwa simu saa tano usiku nikiwa kazini na kijana wangu wa kazi kwamba wife anajipodoa usiku huenda anatoka nikatoka na pikipiki nikaipaki...
22 Reactions
115 Replies
65K Views
Utandawazi bana!! Eti siku hizi ni mwendo bed za 6x6, lakini ukikwaruzana na mwenzi wako utakiona cha mtema kuni usiku kucha Yaani wakati wa kulala kila mmoja anajipanza kwenye angle yoyote ya...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu,katika harakati za maisha nilijikuta nimeingia kwenye mahusiano na binti mmoja ilikuwa mwaka 2015. Bahati mbaya uhusiano huu ulidumu kwa muda wa miezi miwili tu na baada ya hapo...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
There is this girl I met at my working place in the mid last year, we exchanged contact that day, and one thing led to the other and we started dating. We are really into each other and I can...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Hivi mnavyowaponda single mazaz, mbona ndo hao hao waliowalelea????? Dah kutokana na mijadala mingi ya hapa jf nimeona nije na huu uzi Ipo hivi, baadhi ya wanaume wamelelewa na single mazas...
12 Reactions
89 Replies
9K Views
Almost vitu vyote ndani ya nyumba unaweza fanya mwenyewe kama kupika, kufanya isafi nyumbani kwako, kuhudumia mifugo, shambani, ndugu jamii na marafiki zako so unapooa unaongeza faida gani kwenye...
8 Reactions
293 Replies
34K Views
Naamini wengi mshavalishwa na kuvalisha, Je ni mda upi sahihi wa kumvisha pete mpenzi wako? Ni mambo yapi muhimu yanapaswa kuwepo wakati wa zoezi la kuvalisha pete? Pete nzuri ya uchumba ni dola...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Vifo vingi vya wanaume husababishwa na wanawake directly or indirectly
1 Reactions
1 Replies
599 Views
Wakuu pole na shughuli za kila siku., siku moja niliingia facebook nkakuta Friend request kutoka kwa msichana mmoja, basi nka mu-accept. Baada ya muda mfupi mtoto akanitumia sms inbox nkamjibu...
6 Reactions
118 Replies
9K Views
Wadau nimekutana na ndg yetu mmoja ambaye anateseka na hili tatizo ambalo hata mimi nimeona ni gumu kidogo.. Mimi naitwa Joseph leo nimeudhika sana ndg zangu ndiyo maana nikaamua kuomba ushauri...
5 Reactions
104 Replies
9K Views
Back
Top Bottom