Zulpha salum
Member
- Jan 27, 2018
- 66
- 14
Jamanii niulize jambo hivi dunia hii kama mtoto wako wa kike wa kwanza amepata mimba unfortunately...sasa baba na mama wakatengana kwa hilo jambo sasa ni miaka minne tangu hilo jambo...swali linakuja hivii kwanini wanaume hamuwezi kukaa chini na mke wako mka settle down na mpange familia kuliko kutibuana majumbani[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]