MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Hivi wanaume wa mikoani mna matatizo gani maana mademu zenu wanataka tuwatumie nauli waje Dar.... Nini tatizo wanaume wa mikoani...???
Amna mkuu wengine wanakuja m wafundishe kupaka makeup si unajua wanaume wa dar ndo kazi zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]Hivi wanaume wa mikoani mna matatizo gani maana mademu zenu wanataka tuwatumie nauli waje Dar.... Nini tatizo wanaume wa mikoani...???
Akirudi najitoa mhanga.KONKI KONKI KONKI MASTER.....OIL CHAFU!
Hivi wanaume wa mikoani mna matatizo gani maana mademu zenu wanataka tuwatumie nauli waje Dar.... Nini tatizo wanaume wa mikoani...???
hahahhaaaaWe huna pesa, wanawake wa Dar nauli ya kutoka kwao mnapoenda kuonana Tsh 400-600 nayo anakuomba, wengine hata akitaka kwenda kununua chips anaomba nauli , si afadhali wa mikoani anakuwa anakuomba nauli yenye misimbazi kadhaa.
Hahaaaa hili jibu mbashara kabisa. Kwao wnafata pesa halafu hawawezi kuwakaza kisawa sawawanaikimbia mihogo na bao 5 bila half time
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125]wanaikimbia mihogo na bao 5 bila half time
hali ngumu sana huku mkuu, wewe tuma nauli tu, hata mimi nahitaji nauli nije dar nitafute ajiraHivi wanaume wa mikoani mna matatizo gani maana mademu zenu wanataka tuwatumie nauli waje Dar.... Nini tatizo wanaume wa mikoani...???
Naunga mkono hoja.wanaikimbia mihogo na bao 5 bila half time
Duh... what do you want? Care?? Or good sex? Or both at the same time?wanaume wa mikoani sijui ila nawajua wa arusha wapo ka wadar tu hakuna inshu ingine .
Hawawezi kummudu msichana always ukisikia mwanamke analia muulize unalia kwanini kwafuraha au karaha yaani meaning hajui chochote.
Anaweza awe amebarikiwa haujui kutumia.
Msisifie wa mikoani hawajui kitu wanayotu nguvu.
Wadar asilimia kubwa wanapenda kumjali mdada kama nini .
Sijawahi pata mkaka wadar halafu hanitunzi.
Wamikoani ni wanaume wasiojua matunzo na kumjali mtu ila kwa dar asilimia kubwa your in a safe place.
Kula ndio nini kwao they take good care of you bhana .
Nawanasema ukweli uwa nimeoa .
Oh atakaa kwa muda halafu atasema tu ukweli kumbukeni asilimia kubwa watu wadar sio wote wamezaliwa huko ila wengi ni wamefikia huko.
Ndio hivyo ndio ukweli wenyewe.
Aiseee bao tano bila break?? Really...Naunga mkono hoja.
Tunakimbilia dar kupooza papuchi zetu maana mkoani shughuli bao tano bila break.
Hahahhahahaha.Aiseee bao tano bila break?? Really...
Watu wa mkoani bwana dah....
wanaume wa mikoani sijui ila nawajua wa arusha wapo ka wadar tu hakuna inshu ingine .
Hawawezi kummudu msichana always ukisikia mwanamke analia muulize unalia kwanini kwafuraha au karaha yaani meaning hajui chochote.
Anaweza awe amebarikiwa haujui kutumia.
Msisifie wa mikoani hawajui kitu wanayotu nguvu.
Wadar asilimia kubwa wanapenda kumjali mdada kama nini .
Sijawahi pata mkaka wadar halafu hanitunzi.
Wamikoani ni wanaume wasiojua matunzo na kumjali mtu ila kwa dar asilimia kubwa your in a safe place.
Kula ndio nini kwao they take good care of you bhana .
Nawanasema ukweli uwa nimeoa .
Oh atakaa kwa muda halafu atasema tu ukweli kumbukeni asilimia kubwa watu wadar sio wote wamezaliwa huko ila wengi ni wamefikia huko.
Ndio hivyo ndio ukweli wenyewe.
Sahihi mkuuwe dada acha kuhusisha Arusha na ujinga wako
Akinyimwa hiyo 600 atalalamika huyo! utatamani mbingu ipasuke uingieWe huna pesa, wanawake wa Dar nauli ya kutoka kwao mnapoenda kuonana Tsh 400-600 nayo anakuomba, wengine hata akitaka kwenda kununua chips anaomba nauli , si afadhali wa mikoani anakuwa anakuomba nauli yenye misimbazi kadhaa.