Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za wakati huu wakuu kama nilivyo someka hapo juu ni kwamba ikiwa umegundua mpenzi wako amewahi kutoka na mzazi wako kabla hujawa nae kuna haja ya kuendelea kuwa nae? nawasilisha
1 Reactions
43 Replies
4K Views
dah...! huwa nashangaa sana kumkuta mwanaume anajisifia et anahongwa sana au anatafuta mwanamke wa kumuhonga iyo kwangu mimi nasema ni aibu kuntu binafsi kuhongwa naona kama nimekosewa kuwa...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu, Naandika hapa kwa huzuni! Baada ya kuingia uani/chooni na kukutana na watoto wa kiume wenye umri kati ya miaka mi 5 wakifanya mambo ya kikubwa.. Yani nimestuka sana nusu nianguke...
13 Reactions
129 Replies
15K Views
Wadau wa jukwaa, naomba kuliweka hili mbele yenu, huenda roho yangu ikapoa. Uwezo wa maisha bado haujanipa kibali cha kujenga nyumba yangu, na hivyo naishi katika nyumba ya kupanga yenye vyumba...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Hi Mpo Vema? Jamani niende kwenye point. Ni kitu gani kinafanya mwanamke kushindana kuendelena na sex baada ya bao la Kwanza? HUYU Dem ninae katika mahusiano kwa muda Kama miezi 8 Sasa. I'll...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35 Ma Dini mkristo (akiwa mlokole au mlutheri itapendeza zaidi) Sigara, pombe asiguse Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Tangu kaka angu anifundishe ishu za mabinti na hadi aliponikabidhi cheti rasmi kwamba nimehitimu na naweza sasa kutumikia Taifa katika kipengele hicho cha mgegedo sijawahi kumwambia mtoto wa kike...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Aisee siwezi kuwasahau hawa madada poa wa villa jinsi walivyo nichonganisha na wahuni, kisha kunipora kila kitu, aisee sintarudia tena huu mchezo, maana niliponea chupu chupu kuumizwa aisee...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Habar! Leo nimeona nitoe elimu kuhusiana na magonjwa tajwa hapo Juu ambayo nami niliipata somewhere, wengi wetu tumekuwa tukisumbuliwa na haya magonjwa fangasi y miguuni,mikononi,fangasi sehemu...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Huyu demu nilisoma naye shule ya sekondari miaka kadhaa iliyopita basi tukaja anzisha group la whatsapp naye akawemo na mwishowe tukawa tunachat kama old school mates.hatukuwahi kuwa wapenzi...
26 Reactions
286 Replies
29K Views
Wakuu bila kuwachosha..mwenzenu sipendeki kabisa yan kila nikipata mwanamke akiwa anasema ananipenda na kunionyesha wivu tu lazima niachane nae..yena akiniambia ananipenda ndio kabisaa namuona...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habar! Leo nimeona nitoe elimu kuhusiana na magonjwa tajwa hapo Juu ambayo nami niliipata somewhere, wengi wetu tumekuwa tukisumbuliwa na haya magonjwa fangasi y miguuni,mikononi,fangasi sehemu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke wa kuoa. Kwanza awe na vigezo vifuatavyo. 1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa. 2. Awe mkweli 3. Muwazi 4. Anajali 5. Umri 20 hadi 24 Umri wangu ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna demu ambaye ninadeti naye ila bado sijakutana naye kimwili ,Jana nilionananae na kumbembeleza sana ili tutoke lakini alikataa katakata kaleta sababu nyingi Mara sijazoea kutoka usiku ,Mara...
2 Reactions
26 Replies
46K Views
Wanazengo mpoo? Wagubi mpo? Shemegi yenu wa zamani watoto wa mujini wanapenda kusema X-Girlfriend kila akiniona anayepa hataki kabisa onana na mimi.. Hii maana yake nini wazoefu??
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kwanza huyu mwanamke siyo mke wa balozi ,ila ni mdogo wake balozi moja hivi nchi za wenzetu. Aliomba tuonane ,kwa wale waliosoma uzi wangu huko nyuma watakuwa wamenielewa, Dada...
15 Reactions
127 Replies
11K Views
Muda mwengine unaweza ukawa mbali sana kimaendeleo na bado wanaokuzunguka wakawa wanakwambia hujafanya kitu, usijiskie vibaya yawezekana spidi yako ya kutafuta maendeleo ni kubwa kuliko uwezo wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je kitu gani unachokimisi kutoka kwa Ex wako ambacho hukipati kwenye mahusiano yako ya sasa?
3 Reactions
591 Replies
46K Views
Tumekua na mahusiano mazuri na mpenzi wangu kwa muda wa miezi mitano wiki iliyopita nikapata habari kwamba anatembea na mwanaume mwingine, nilipombana sana akakiri kuwa ni kweli bado nampenda...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wapendwa wenye bm nielekezen garage nzur na yenye uhakika tafadhali nisijeharibu hii kitu maana kila mtu ananisisitiza niwe makini na sehem yangu ya service nisije kuharibu hii mashine
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom