Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,563
- 21,665
Habari zenu,
Naandika hapa kwa huzuni! Baada ya kuingia uani/chooni na kukutana na watoto wa kiume wenye umri kati ya miaka mi 5 wakifanya mambo ya kikubwa..
Yani nimestuka sana nusu nianguke, nimeumia sana. Wazazi wao wako hapa wanawauliza kuwa wamejulia wapi.
Kipigo ndio wamewapa tena kikali, ila najiuliza je wataacha?
Wazazi wenzangu tufanyaje kuwalinda watoto wetu wa kiume..!