functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
Aisee siwezi kuwasahau hawa madada poa wa villa jinsi walivyo nichonganisha na wahuni, kisha kunipora kila kitu, aisee sintarudia tena huu mchezo, maana niliponea chupu chupu kuumizwa aisee, nawashauri vijana usikubali kupelekwa gizan na hawa watu ujue wanaenda kukuchomesha.