kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
Tangu kaka angu anifundishe ishu za mabinti na hadi aliponikabidhi cheti rasmi kwamba nimehitimu na naweza sasa kutumikia Taifa katika kipengele hicho cha mgegedo sijawahi kumwambia mtoto wa kike tuachane, au sijui mimi nawew basi au sijui sikutaki tena sijawahi kabisa, kipindi nipo katikati ya mafunzo ya mapenz nilisisitizwa ni mwiko kufanya hivyo kwa mwanaume..
So nimeona niwakumbushe wanaume wenzangu kutokufanya hilo kosa,
Wasalamu,
wenu katika ujenzi wa Taifa
So nimeona niwakumbushe wanaume wenzangu kutokufanya hilo kosa,
Wasalamu,
wenu katika ujenzi wa Taifa