Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 672
- 985
Wakuu bila kuwachosha..mwenzenu sipendeki kabisa yan kila nikipata mwanamke akiwa anasema ananipenda na kunionyesha wivu tu lazima niachane nae..yena akiniambia ananipenda ndio kabisaa namuona muongo tu..kila nikijitahidi kujiaminisha kuwa napendwa basi moyo wangu unakuwa mzito..yan siamin kama naweza nikapendwa hata kidogo...
Pia kuhusu mm kupenda nakumbuka nilimpenda dada mmoja tu lakin alinizingua na mm nikamyoosha kisawasawa ikawa ngoma draw..tangu hapo ishapita miaka karibu kumi sijawahi kupenda tena kila nikijilazimisha kupenda nashindwa..matokeo yake najikuta nimekua na moyo wachuma cjui kupendwa wala kupenda..na wala cjui maumiv ya mapenz ndio yakoje.. ,je ili hali hii initoke nfanye nn?