Garage ya BMW

Garage ya BMW

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,714
Wapendwa wenye bm nielekezen garage nzur na yenye uhakika tafadhali nisijeharibu hii kitu maana kila mtu ananisisitiza niwe makini na sehem yangu ya service nisije kuharibu hii mashine
 
mmmmm mmmhhh

hapa utakua umekosea jukwaa
 
Weka picha 2kusaidie mkuu
Wapendwa wenye bm nielekezen garage nzur na yenye uhakika tafadhali nisijeharibu hii kitu maana kila mtu ananisisitiza niwe makini na sehem yangu ya service nisije kuharibu hii mashine
 
Nenda mivinjeni dms karibu na stend ya mbagara wako maeneo hayo
 
Mwenge msikitini au kwenye flats za jeshi ulizia hapo
 
Back
Top Bottom