X-Girlfriend kila akiniona ananikimbia

X-Girlfriend kila akiniona ananikimbia

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
821
Wanazengo mpoo? Wagubi mpo? Shemegi yenu wa zamani watoto wa mujini wanapenda kusema X-Girlfriend kila akiniona anayepa hataki kabisa onana na mimi..

Hii maana yake nini wazoefu??
 
ingawa hii sio thread husika mkuu.... But hapo kuna mambo Mawili Kwanza ameisha au kukongoroka so hataki umuone kwa kujua utamdhihaki pili huenda unamsumbua kumtaka mkuu
 
Hivi inakuwaje mtu nimeandika tittle ya uzi wangu hivi halafu baaada ya muda naona tittle imebadilishwa lakini maidhui yale yale hii inakera
 
Wanazengo mpoo? Wagubi mpo? Shemegi yenu wa zamani watoto wa mujini wanapenda kusema X-Girlfriend kila akiniona anayepa hataki kabisa onana na mimi..

Hii maana yake nini wazoefu??
Labda una nchi 10 mtoto wa mwenzio hataki kukumbuka maumivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom