Nitafurahi sana kama nitapata rafiki wa kike mwenye kujielewa na mwenye mawazo mazuri kuhusu maisha ya kila sila pia awe mtu wa iman/dini. Kama upo tayar nichek kwa lukeloisaac@gmail.com any...
Tuendelee sasa kwa kuweka kwanza kile mhanga alichoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram
Kwa kifupi amekubali kuwa ni yeye na amekiri kukosea kudate binti asiye sahihi na lawama zote...
Habari wana jamii! Sasa hivi kumeibuka lindi la wanandoa wengi kuachana. Kuna jamaa yangu aliachana na mkewe jamaa akaondoka kwa hasira bila kuchukua cheti chake cha ndoa. Baada ya Muda jamaa...
Niliandika hii kitu muda mrefu ulio pita,ila kutokana na yanayo endelea ya wenye nguvu kutamani kula akiba ya wanyonge imenikumbusha kupandisha bandiko hili linalo kwenda kwa mtindo wa hadithi...
Habari za jpili wadau,bila kupoteza muda naomba nielezee sababu za kuomba ushauri/mawazo,japo mtanisamehe mm sio mwandishi mzuri twendeni hivyohivyo.
Iko hivi mwaka huu kwenye mwezi wa 5...
Siku zote mke wangu amekuwa akiniambia kuwa ananipenda sana kitu kizuri zaidi amekuwa akinionyesha upendo huo, jambo ambalo limenifanya nijivunie kuwa naye siku zote siku moja nikaamua kumtania...
Ni familia ya mke mmoja na watoto wawili na Mimi mwenyewe jumla ni watu wanne tunaishi mjini Nyumba ya kupanga, sina shamba wala mfugo wa aina yoyote kipato changu kwa mwezi ni laki moja na...
Habari wakuu.
Poleni na mihangaiko ya kujenga taifa. Niende moja kwa moja katika Mada tajwa hapo juu.
Moja kati ya vitu ambavyo makosa yake ukkyafanya utajuta mpaka uzeeni ni kukosea KUOA au...
WanaJF habari zenu.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22.
Kuna mkaka ambaye nampenda na ananipenda kwa dhati tumedate kwa miezi 18 mpaka sasa, na ninatamani anioe naye yuko tayari kunioa...
Ikitokea siku unaingia Gest/Lodge na mchepuko wako bila kujua unafika mapokezi unakutana na baba/Mama mkwe wako kama ndio manager wa pale utafanya nini?
Binafsi mimi nitauliza tu mchele upo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25
Nimeajiriwa kwenye taasisi fulani hapa Dar es salaam.
Elimu yangu ni Diploma of Education.
Mi ni mrefu, mweusi. (hapa najua kuna girl hatanizingatia maana...
Hello mnaendeleaje na habari za Jiwe huko Tanzania?
Kwakweli kabla sijapaa kuja zangu nilipo, nilikuwa na urafiki na msichana mmoja ambaye anaonekana kuwa na vigezo vya kuitwa mke wa kuolewa...
Shost alipata mtoto katika age ya earl 40’s, ni baada ya kuweka career fresh na kusimamisha kampeni kwake. Sasa ana binti wa miaka mine. Kwakweli huyu binti ni furaha ya shost, anafanya kila...
Wakuu..jana nilikua kwenye house party flan hiv huku kwetu...sasa madem waliokuja pale dah.huyu mshkaj wetu ni mtoto wa kishua sana,mzee wake ni mkurugenz flan hiv kwenye kitengo...ni fisadi...
Tusichoshane under 26 kaeni mbali na mimi kabisa,
E bhana hee,kweli ng'ombe hazeeki maini.
Mapenzi hubadilika kila wakati,wazee mnapenda watoto wadogo sana,ila na sisi ache tukomae na hawa akina...
Habari zenu wakubwa,,
Ni hvi ,mwaka jana kuna mzee fulan aliwahi kunihadithia kisa kimoja cha ukweli kilichotoakea maeneo fulan hapa dar,kua kuna jamaa alikua ameoa mke wakafanikiwa kupata watoto...
Habari ya asubuhi
Natumaini mko poa Jamani mke wangu ana mimba ya miezi 3 sasa amebadilika hana heshima kabisa sometimes ananiambia ati ninanuka hapendi kuniona lakini nikiondoka tu anaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.