Demu wa Uswahilini ni wa Uswahilini tu hata akisoma. Huyu sitaki hata kumwona tena

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,514
Huyu demu nilisoma naye shule ya sekondari miaka kadhaa iliyopita basi tukaja anzisha group la whatsapp naye akawemo na mwishowe tukawa tunachat kama old school mates.hatukuwahi kuwa wapenzi.

Basi akaanza kunambia kuwa anataka tuonane.karibia week mbili nzima ananambia tuonane.mimi sikuwa tayari coz mambo mengi na ninaogopa nisije nikaanza naye uhusiano sababu ni demu mzuri.basi siku moja nikamwambia nipo tayari anambie tuoane wapi.

Akanambia nimfuate mida ya saa moja mitaa flani hivi kiwanja basi nami nikavaa simple tu jioni nikaenda eneo husika nimefika nikamkuta amekaa kasehemu tulivu kana mwanga hafifu halafu mbali na wananchi wengine.nikawaza tu huyu demu atakuwa na jamb nyeti sana hasa ukizingatia alivyosisitiza tuonane.basi nikavuta kiti nikakaa.

Punde si punde akaja mhudumu maana kwa lile eneo kuna mhudumu maalum akaja kuniambia kinywaji ninachotaka mi sikuwa mfujaji nikaagiza kinywa cha thaman ya tsh 2500 basi yule mhudumu akawa anataka alipwe kabisa ili aende kaunta kuchukua kinywaji.

Huyu demu badala anilipie yeye ndo kaniita akawa anatoa tu mijicho yake kama tungule bahati nzuri nami nilikuwa nimebeba 10,000 kama dharura.ikabidi nitoe hiyo pesa kulipia kinywaji lile demu jinga kabisa limeniita halafu linataka mimi nijigharamie wakati ni mwaliko wake lenyewe? likawa tayari limeshanitibua. basi nikicheck halina stories linaleta tu stories za kazini kwao, mara shule kuwa alipomaliza form 3,akaingia form four akamaliza akaingia kidato cha tano ,basi mwaka uliofuatia akaingia cha sita.

Mi akawa tayari ameshanichanganyia mahesabu kama vile haitoshi ananambia niende kwake muda huo nikapafahamu imagine saa mbili kasoro.nikawa namsikiliza tu baadaye namwambia basi mi nataka kuondoka... ananambia "aaaiii jamani hutaki hata kukaa nami" wakati mimi sioni la maana na tayari keshanitia hasara so anataka awe ananitumbulia mijicho yake tu huku mimi naumia kiuchumi.

Mademu , unapomwalika mtu unatakiwa kugharamia wewe huo mtoko siyo unamwalika mtu halafu kumbe unamwalika aje akulishe akunyweshe ili ukamlipe K? huo ni utahira mi sitaki kabisa hizo issue kama unataka kunipa K nipe tu siyo eti nikugharamie then ndo ukanilipe kwa Kthubutu utaishia kuniona mi bahiri ndiyo acha niwe bahiri lakini sinunui na sihongi ili nipate k.

Nililiaga hilo li demu la uswazi nikaondoka na namba yake nika delete baadaye likapiga simu nikaliuliza "nani mwenzangu" kwa hasira likakata simu nami nikashukuru kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
 
Kwa ambao mnaona ndefu ni hivi.

Alisoma na binti zamani wakawa grupu moja wasap wakapanga kukutana ila walivyokutana eneo lenye mwanga hafifu vinywaji akalipia mleta uzi, roho ikamuuma akaamua kuondoka na kufuta namba ya binti ya simu.
Pia amesema ukiamua kumpa k we mpe tu ila ole wako umlipishe vinywaji.
 
Ebu ona kilichomkuta Rafiki yangu baada ya kutoa dem wa uswahilini

Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula
kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga
imeandikwa *UKISUSA WENZIO WALA* ilipofika
asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa
*UKITOKA MWENZIO ANAINGIA* jamaa
akagoma kwenda kazini  mke akabadili
kanga na kuvaa iloandikwa *NIMEMDHIBITI NDO
MANA HATOKI* jamaa akaenda kuomba
ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende
nyumbani kwako, walipofika walimkuta mke
kavaa kanga imeandikwa *ULIDHANI RAFIKI
YAKO KUMBE ADUI YAKO*�� jamaa akaamua
kusafiri siku tano ili kupunguza hasira. Aliporudi
akamkuta mke amevaa kanga imeandikwa *NI
BORA NIMPE JIRANI KULIKO KIOZEE NDANI*
Jamaa yuko ICU!

 
huyu demu nlisoma naye shule ya sekondari miaka kadhaa iliyopita. basi tukaja anzisha group la whatsapp naye akawemo na mwishowe tukawa tunachat kama old school mates.hatukuwah kuwa wapenzi.

basi akaanza kunambia kuwa anataka tuonane.karibia week mbili nzima ananambia tuonane.mimi sikuwa tayari coz mambo mengi na ninaogopa nisije nikaanza naye uhusiano sababu ni demu mzuri.basi siku moja nikamwambia nipo tayari anambie tuoane wapi.

akanambia nimfuate mida ya saa moja mitaa flani hivi kiwanja.basi nami nikavaa simple tu jioni nikaenda eneo husika. nimefika nikamkuta amekaa kasehemu tulivu kana mwanga hafifu halafu mbali na wananchi wengine.nikawaza tu huyu demu atakuwa na jamb nyeti sana hasa ukizingatia alivyosisitiza tuonane.basi nikavuta kiti nikakaa.

punde si punde akaja mhudumu maana kwa lile eneo kuna mhudumu maalum akaja kuniambia kinywaji ninachotaka. mi sikuwa mfujaji nikaagiza kinywa cha thaman ya tsh 2500 . basi yule mhudumu akawa anataka alipwe kabisa ili aende kaunta kuchukua kinywaji.

huyu demu badala anilipie yeye ndo kaniita akawa anatoa tu mijicho yake kama tungule.bahati nzuri nami nilikuwa nimebeba 10,000 kama dharura.ikabidi nitoe hiyo pesa kulipia kinywaji.lile demu jinga kabisa limeniita halafu linataka mimi nijigharamie wakati ni mwaliko wake lenyewe? likawa tayari limeshanitibua. bais nikicheck halina stories..linaleta tu stories za kazini kwao, mara shule kuwa alipomaliza form 3,akaingia form four.akamaliza akaingia kidato cha tano ,basi mwaka uliofuatia akaingia cha sita...

mi akawa tayari ameshanichanganyia mahesabu.kama vile haitosh ananambia niende kwake muda huo nikapafaham imagine saa mbili kasoro.nikawa namsikiliza tu. baadaye namwambia basi mi nataka kuondoka... ananambia "aaaiii jamano hutaki hata kukaa nami" wakati mimi sioni la maana na tayari keshanitia hasara...so anataka awe ananitumbulia mijicho yake tu huku mimi naumia kiuchumi.

mademu , unapomwalika mtu unatakiwa kugharamia wewe huo mtoko .siyo unamwalika mtu halafu kumbe unamwalika aje akulishe akunyweshe. ili ukamlipe K? huo ni utahira mi sitaki kabisa hizo issue kama unataka kunipa K nipe tu siyo eti nikugharamie then ndo ukanilipe kwa K.thubutu. utaishia kuniona mi bahiri.ndiyo acha niwe bahiri lakini sinunui na sihongi ili nipate k.

nililiaga hilo li demu la uswazi nikaondoka na namba yake nika delete.baadaye likapiga simu nikaliuliza "nani mwenzangu" kwa hasira likakata simu nami nikashukuru kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
Ukicheka na nyani utavuna mabua..! Kila mtu anapenda pesa zake..
 
Ebu ona kilichomkuta Rafiki yangu baada ya kutoa dem wa uswahilini

Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula
kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga
imeandikwa *UKISUSA WENZIO WALA* ilipofika
asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa
*UKITOKA MWENZIO ANAINGIA* jamaa
akagoma kwenda kazini  mke akabadili
kanga na kuvaa iloandikwa *NIMEMDHIBITI NDO
MANA HATOKI* jamaa akaenda kuomba
ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende
nyumbani kwako, walipofika walimkuta mke
kavaa kanga imeandikwa *ULIDHANI RAFIKI
YAKO KUMBE ADUI YAKO*�� jamaa akaamua
kusafiri siku tano ili kupunguza hasira. Aliporudi
akamkuta mke amevaa kanga imeandikwa *NI
BORA NIMPE JIRANI KULIKO KIOZEE NDANI*
Jamaa yuko ICU!



HAKUNA MAISHA MAGUMU TOFAUTI NI VIWANGO by Mr Nay
 
Umedhihirisha ni kiasi gani ulivo dhaifu...mademu watakuwa wanakupitia mbali...hapo ulitakiwa umuagizie chips fried chicken,juice, alaf unamtoa ka fifty (elf hamsini) unamwambia ''hiyo ya nauli leo niko busy ntakutafuta badae'' alafu unaondoka unamwacha hapohapo...angekutafuta hadi angechanganyikiwa...sasa nawewe ukawa unatoa macho ka fundi saa, siku nyingine usirudie upoyoyo wako
 
Kwa ambao mnaona ndefu ni hivi.

Alisoma na binti zamani wakawa grupu moja wasap wakapanga kukutana ila walivyokutana eneo lenye mwanga hafifu vinywaji akalipia mleta uzi, roho ikamuuma akaamua kuondoka na kufuta namba ya binti ya simu.
Pia amesema ukiamua kumpa k we mpe tu ila ole wako umlipishe vinywaji.
Nimeipenda hii summary.
 
Back
Top Bottom