Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wakuu Iko wazi hakuna binaadamu ambaye hana madhaifu " kila binaadamu ana makando kando Yake anayoyafanya" lakini kwa sababu zetu fulani fulani tumeamua kuya sitiri ndani ya mioyo yetu "...
12 Reactions
75 Replies
6K Views
Nyie mnaowagombeza wachumba wenu eti hampatiwi mda, hampigiwi simu kila mara, na kujihisi hampendwi,Je mshawahi kujiuliza kuna mwenye upendo wa dhati kufikia mama zenu?Je ni mara ngapi kwa siku...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Hivi kama wewe ni mwanaume kweli kweli(sio wa Dar)utakimbiaje familia yako kwa kigezo cha kwenda kutafuta maisha?huo ni umama! Mwanaume wa kweli anakimbia Moto,bomu, mamba na wala sio mimba.Nukta
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama unaroho nyepesi huwezi thubutu kutafuta mchumba/ mpenzi/ rafiki mtandaoni hasa humu JF, kila nikisoma comments za wapambe ambao majority wanakuwa hawapo interested na ujumbe wako lengo lao...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi zenye kila aina ya taka taka. Binafsi huwa napenda sana kuona maisha yangu yapoje kwa kuwasikia hata watu wakisema lakini sikufanikiwa. Mwanetu...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jukwaa Hili” Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
"Nimekuwa mwaminifu sana kwa hawa wanawake kwa nyakati zote ambazo nimewahi kuhusiana nao. Lakini mshahara wa haya ni kusikiliza nyimbo za baraka, IBRA nation na lavalava. Haijawahi kutokea Mimi...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Kwa kweli ajali ni ajali. Nakumbuka nimekutana na ajali nyingi za mapenzi . Wakati nikiwa kidato cha pili nilikutana na ajali ambayo siwezi kuisahau kamwe. Siku hiyo kulikuwa na wellcome. Form one...
7 Reactions
41 Replies
7K Views
Ni mwanaume, naishi Dar es Salaam ni mfanyakazi na biashara pia. Natafuta Mke wa miaka 35 na kuendelea, mkristo na asiwe mchaga au mhaya. Kwa aliye serious tuwasiliane.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hey wapendwa.. Hivi ile hali ya watu kuwa critical kwa aina flani ya wapenzi ni sawa au ni uathirikaji wa kisaikolojia? Maana utakuta mtu kuachana na dokta basi haitaji mwingine zaidi ya dokta tu...
1 Reactions
3 Replies
958 Views
Imepita miaka mitano sasa lakini bado nakumbuka hili tukio Ilikuwa ni mchana mmoja siku ya ijumaa nilikwenda bar ya Igongwe pale Mwenge karibu na vinyago kupata lunch Kufika pale nikahudumiwa...
17 Reactions
316 Replies
26K Views
Nikwann wanaume wengi wakifumania uumia sna ila nao hupenda sana kuchepuka?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanangu asikwambie mtu nilikuwa sipendi kwenda kariakoo ila Kuna day ivi mwanangu kanivuta shati oya E eee nakupitia apo home twende kariakoo nikaona usiwe taabu akaibuka na msela wake moja ivi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Poleni Kwanza na Mahangaiko ya siku nzima ya kutafuta Mkate wa kila siku! Nina Story Yangu ya kimahusiano iko Hivi! Niliingia katika mahusiano serious na Mwanamke Mmoja Jina E, lakini pia...
17 Reactions
223 Replies
20K Views
Nilichokigundua jana ndio hiki kumpenda mpenzi mmoja kwa moyo wako wote ni matumizi mabaya sana ya moyo. Jana nimeumizwa hatari lakini nashukuru Mungu nilikua na spear tairi ameniliwaza hadi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Anaanza kwa kusema...... "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati. Nasema hivi...
10 Reactions
54 Replies
15K Views
Salaam ziwafikie wote. Kumekua na matukio mengi ya fumanizi ambayo baadhi huacha majonzi kwa anaefumania na mengine huibua faida kwa wagoni. Baadhi ya waliofumania walijikuta ktk adha kubwa na...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Salaam wana MMU Nauliza nini maana ya neno shikamoo Manake tangu nakua mkubwa nawasalimu watu kwa kuwaambia Shikamoo ila sijui maana halisi ya hili neno Mnijuze.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wakuu...!! Nimekua napiga sana pombe mfurulizo lakini hata kama nimekunywa Jana lakini Leo nakua na kiu ambayo ni hatari utafikiri sijanywa mwaka mzima utaweza sema kama mtu amekamatwa...
1 Reactions
79 Replies
5K Views
Kadri mishale ya sekunde dakika na saa inavyozidi kuyoyoma.. Uku mboni za macho yangu zikibaki kuwa shuhuda.. Jinsi watu wema wanavyotoweka kwa kasi ya kuogopesha Kwenye uso wa dunia.. Wakiwa...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom