Anashindwa kuendelea safari ya pili.

Anashindwa kuendelea safari ya pili.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,967
Hi
Mpo Vema?

Jamani niende kwenye point.

Ni kitu gani kinafanya mwanamke kushindana kuendelena na sex baada ya bao la Kwanza?

HUYU Dem ninae katika mahusiano kwa muda Kama miezi 8 Sasa. I'll Cha ajabu Akisha chojoa Cha Kwanza hua anachokaga Sana na anakuwa hawezi tena kuendelea. So mzee baba nakuwa bafo na ugwadu.

Msaada tutani
 
Duh shukuru Mungu aisee kupata demu wahivyo, wengine mpaka amwage vitatu tena anataka aunganishe juu kwajuu.

Ushauri: jitahidi muwe mnamwaga pamoja, na ukitaka kupiga chapili mwambie alale2 ujipigie ujipizie ikibidi ufie kifuani kabisa
 
Huyo wa vitatu+ namtamani kweli tuuwane
 
Back
Top Bottom