Habar! Leo nimeona nitoe elimu kuhusiana na magonjwa tajwa hapo Juu ambayo nami niliipata somewhere, wengi wetu tumekuwa tukisumbuliwa na haya magonjwa fangasi y miguuni,mikononi,fangasi sehemu za siri/nyeti,Minyoo,cha kufanya ni:
Nunua kitunguu swaumu kizima kikiwa cha kienyeji itapendeza zaidi,menya kitunguu kisha kisage au kitwangwe, kikishalainika changanya na maji ya vuguvugu kipimo cha maji ni kijiko kimoja cha chakula,kisha chota msagiko huo wa vitunguu umeze.
Tahadhari :unaweza tapika au kuharisha hiyo ni kawaida ukiona kichefuchefu waweza chukua glass ya maji ukachanganya na ndimu kisha ukanywa hayo maji.
NB:kama una presha ya kushuka usinywe hii dawa maana huwa inashusha Sana presha,labda unywe kahawa ili kupandisha presha baada ya kutumia dawa hii ,baada ya SIKU 1-2 fangasi zitakauka na kuisha kabisa pamoja na minyoo na uti.
SPECIAL thanks to a member of jf Baosita who wrote this thread October 29,2012,if you are here I really appreciate you. Thanxss All.