Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa mujibu wa jarida la Finland lililofanya uchunguzi kwa nchi zaidi ya 148 Duniani, (Dunia ina nchi 245) Tanzania imeibuka kidedea kwa kuwa na idadi kubwa ya wanawake vicheche,mapepe hadi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
kwa wale waliowahi kuwafikisha wenza wao kileleni ni material gani yanahitajika zawepo na kwa wale wanawake walio wahi kufika kileleni na namna gani ya kufanya ili ufike, asante
1 Reactions
3 Replies
727 Views
Habari za muda huu mimi ni kijana nilikuwa na uhusiano na msichana mmoja na tuliweza kupata mtoto mmoja wa kiume hakika ya mapenzi yetu yalikuwa mazuri lakini na mapungufu ya kibinadamu yalikuwepo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati we unawaza kusaka maisha,familia itakula nini leo kuna njemba moja huko room Anamkunja mkewe style moja matata hawazi ata akimaliza hapo atakula nini ? Kweli maisha siyo fair kabisa inauma...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Habarini,niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi Ni kijana nimefikia umri wa kuoa na hali zangu zote zinaniruhusu kuoa lakini mpaka sasa sijawahi kuwa na msichana ambaye nimemuweka level za uchumba...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Niende moja kwa moja kwenye maada. Mwenzenu nimekubwa na tatizo moja kubwa sana, hali hii inaathiri mpaka utendaji wangu wa kazi. Nina tatizo moja kubwa sana kila siku ikifika mida ya kumi jioni...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mara nyingi nawashangaa sana wanawake wengi kwa kuhisi mnawajuha wanaume, but ukweli hamtujuhi kabisa mwanaume anaweza zaa na chizi, tahira tena pasipo kabisa na imani na kishirikisha. Ila hakuna...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani mapenzi kitu cha ajabu sana unaempenda kakupendi, nae anampenda mtu mwingine ambae nae hampendi, circle hii ni hatari sana .
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wengi mliondoka utawala wa awamu ya pili. Baada ya mzee Ruksa kuruhusu kila kitu ruksa watu Walianza kushika pesa na na pia kugundua kuwa passport yetu ilikuwa visa on entry kwa nchi karibu zote...
15 Reactions
81 Replies
7K Views
Mimi npo na mke wng kwa zaid ya miaka 3. Mwanzo alikua hana tabia ya kujampa sana. Lakn toka mwaka huu uanze amekua akijampa sana co mchana wala ucku. Anajampa kila mda na kila mahali. Yaan...
1 Reactions
68 Replies
12K Views
Wakubwa heshima zenu. Wenzangu habari zenu. Wadogo zangu hope mpo poa. ITIFAKI IMEZINGATIWA. Napenda kufungua kikao hichi ambacho lengo lake dhairi ni kuzingatia hoja zifuatazo. ~Ni sifa gani...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nyakati fulani kitambo nikiwa kijana mdogo niliwai kuwa ktk mahusiano na binti niliempenda kwa dhati mpaka kufikiria kufunga nae pingu za maisha pale ambapo Mwenyezi Mungu akiniimalisha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Dada zetu wanaokuja vyuoni ama Kikazi huko Darisalama,Wanawakandia sanaaa. Eti kwa msela wa Dar kufika kileleni Bao 3 bila kupumzika kwenu ni historia ya kinjeKitile ngwale. Siwezi tumia neno...
2 Reactions
181 Replies
14K Views
Habari wadau Nimekuwa na mchumba wangu kwa muda wa miaka 3, sasa nimeachana nae miez miwili iliyopita lakini nafsi yangu inashindwa kabisa kupambana na hali hii. Naishi kwa stress tu, sikuzoea...
5 Reactions
88 Replies
8K Views
Nawaza sana kila daily wale wanawake wanaojitoa muhanga kwa wanaume . Kuna msichana anaumri mkubwa . Huyo dada hajawahi kuingia sana kwenye mahusiano so yupo makini. Alitafuta hela akapata ila...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Kwa kawaida kadiri mwanaume anavyokosa tendo la ndoa kutoka kwa mwenzi wake ndivyo ambavyo anazidi kujishinikiza kihisia. Kama atakosa tendo kwa wiki nzima mambo huwa magumu zaidi, kwa sababu bila...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Utakuta mwanaume anajitoa ufahamu na kulamba sehem za siri za mpenzie hapo ni mwanzo wa kudharauliwa maana anakua ana jiaminia; kama unaweza kulamba sehemu ya aja ndogo na kubwa na ukameza...
13 Reactions
71 Replies
10K Views
Huwa nasikitika sana na kuwaza mbali na kujiuliza kwa nini!!??hasa pale ninapokutana na binti nzuri ambaye alitakiwa awe kwenye ndoa,awe na kazi yake nzuri,ajenge familia nzuri na mume wake kaamua...
3 Reactions
56 Replies
13K Views
Habari za weekend wanajamvi.. Mimi ni member mzoefu,nmeona nitumie ID mpya ili niwe huru zaidi kujielezea...nmefikwa kooni nahitaji ushauri Mm ni mtu mwenye msimamo wa dini na nina misimamo...
19 Reactions
207 Replies
19K Views
Wakuu nipo sehemu maeneo ya dar hapa ,nafanya kazi moja ya serikali leo ni siku ya tatu ,nimechukua na chumba maana nitakaa karibia miezi miwili,kutoka hapa nilipo mita chache wanapiga mziki...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom