kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,124
- 16,843
Yafuatayo yanaongoza kusababisha mapenzi na ndoa kulegalega na kufa:
1. Mpenzi kuombaomba vitu (pesa, msaada, vitu) kila wakati kwa mpenzi asiyekuwa na kipato au mwenye malengo ambayo hayajatimia.
2. Kuzaa bila ndoa
3. Kuzaa watoto wengi bila kipato kuongezeka.
4. Mpenzi kusafirisafiri (kikazi, kimasomo, kifamilia) kila wakati
5. Kusema uwongo kwenye mapenzi.
6. Kutotimiza ahadi zako unazomuadi mpenzi wako.
7. Kufumaniwa
8. Uchafu (mwili, mazingira) uliokithri
9. Nduguzo kuwa tegemezi kwa shemeji yao
10. Kuugua magonjwa ya kudumu (chronic diseases)
11. Ndoa za utotoni.