uwepo
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 600
- 743
Ndio kuachwa kupo na ukiachwa achika ila kuna vitu huwa vinakupa furaha sana baada ya kuachana ntavitaja baadhi kama unacho utaongezea
1. yani mmeachana ila x wako anaanza kupauka huwa inaleta furaha sana au mmeachana alafu paap anafukuzwa kazi huwa kuna karoho flan kanasema tuone jeuri yake.....
2.Mmeachana tu yani na deal ndo zinaanza kama hulikuwa huna kazi mara paap kaz tena bonge la kitengo huwa inaleta raha sana
3. Mmeachana anaenda kudate na mtu yani hata wewe unaweza ukamchora kwa mkono wa kushoto
4. mmeachana anaanza kupost penzi jipya wewe unapost vitu wanavoviota ambavyo tayari umevipata kama usafir sio gari lakin nyumba huwa inaleta gari
5. Alikuwa bahili kutoa pesa ila akianza kupush mpaka inawaka moto mara paap mmeachana umepata jamaa mpya linajitoa mno bhuana ata aumwe paka wenu anataka akatiwe bima hii n kwa wadada sana... huwa inaleta raha sana
6. Mmeachana mdada wa watu anapata mtu kakuzid kila kitu financial, upstairs na mengineyo mengi hii huwa inaleta sana stress kwa sis wanaume hapa usipokuwa makini unaweza ukaingia tinder hitwe au tantan na we ukote wa kulipa shambulio la aibu
Wataalam wa mambo mkiongezea sio mbaya
Rai yangu kwa wanaume wezangu 2019 tutafute pesa sana kila mwanamke ni bora na uvumilivu wake kwako unaendana na kiwango cha pesa ulichonacho.
Sent using Jamii Forums mobile app