coco bella
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 305
- 315
Wakuu nahitaji kujitoa out jioni kiwanja gani kikali naweza kwenda ikanikosha nafsi yangu hasa night club, nafikiria kwenda Micasa Lounge Ubungo ila sijui iko vipi
Njoo Micasa utanikuta humu ndani kabisaWakuu nahitaji kujitoa out jioni kiwanja gani kikali naweza kwenda ikanikosha nafsi yangu hasa night club, nafikiria kwenda Micasa Lounge Ubungo ila sijui iko vipi