AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Yaani hili nimelisema wazi kabisa bila kumung'unya maneno...
Tabia za watoa ushauri wengi zinafanana...
UNAKUTA WANAPENDA KUTOA USHAURI KWENYE DIFFICULT SITUATIONS ZA WATU KWA MAMBO AMBAYO MHUSIKA MWENYE INAMUIA VIGUMU KUFANYA HIVYO...
SASA NAJIULIZA HIVI...HUYI MSHAURI INGEKUWA NI YEYE NDIO MIMI ANGEWAZA HUU UTUMBO WAKE ANAONIPA MIMI...?
MWINGINE ETI KAOA BINT MDOGO MDOGO MIAKA 17 ALMOST...ALAFU KUNA MDOGO WAKE ANAELEKEA 22 ANATAKA KUOLEWA ANAMWAMBIA ETI BADO MDOGO ASOME...ANAUMWA KIFADURO...NIKAMWAMBIA ANAONGEA HIVYO KWAKUWA YUPO KWENYE NDOA...
KIPINDI HICHO NILIKUWA NATAKA NIOE NIKIWA MWAKA WA PILI...KUNA MTU MMOJA NI MWANANDOA AKANAMBIA MBONA UNAWAHI HIVYO...UNAWAHI NINI KWENYE NDOA..? SUBIRI UMALIZE.
..NIKASEMA FALA HUYU...KWAKUWA YEYE YUPO MTONI HAJUI TABU ANAYOIPATA ALIYE JANGWANI...
Sent using Jamii Forums mobile app