COMRADE 07
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 337
- 151
Habari zenu wadau,napenda kufahamu sifa za wasichana wa kindamba,maana kuna mmoja nataka kuanzisha mahusiano nae ya kimapenz..Nitashukuru kwa msaada wenu
mmh hawa sijawahi wasikia rafiki... watakuwa wazuri tu lakini
mmh hawa sijawahi wasikia rafiki... watakuwa wazuri tu lakini
miss chagga ndio tumemwagana? sielewi elewi
hawa sifa yao kuu ni kupenda kula samaki...nasikiaga wanaweza mtia samaki mzima mzima mdomoni kisha miba wanachambulia humo humo mdomoni......
naona happy new ukapata mke mmpya me nimekaa kimya tu nione mwisho wenu...
hahahahahahhahahahah, miss chagga nani tena huyooooooo??????
hawa sifa yao kuu ni kupenda kula samaki...nasikiaga wanaweza mtia samaki mzima mzima mdomoni kisha miba wanachambulia humo humo mdomoni......
we unampendsa nani humu mwingine >