Karibia kila Jamaa yangu niliyemwamini, Alinisaliti. 'wewe je?'

Tized

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
4,025
Reaction score
5,980
Wadau, salaam sana.

Imetokea akatika maisha yangu ya uhusiano mara tatu kwa binti mmoja. Kutoka kwa mashemeji (rafiki zangu wa kiume niliokuwa nao chuo)

WaKwanza:Kila siri yangu niliyokuwa namweleza, ilikua inafika kwa dia pasipo mimi kujua,ila kuna maswali elekezi niliyokuwa naulizwa ulizwa, hatimaye baada ya kumbana sana akasema ukweli jamaa alimtongoza kwa gia ya kunichafua, huyu hakufanikiwa.

WaPili:Alimtamani shemejiye akatengeneza mazoea sana, kutokana na misimamo yangu ya kidini kipindi iko, nilikuwa nimepanga kutokutana naye kimwili hadi tuoane maana nilikuwa siriaz na binti alilijua hilo barabara!, Jamaa yangu akaenda na kisingizio kuwa mimi sio rijali ndio maana sikutaka kukutana naye kimwili, huyu akafanikiwa.

WaTatu: naye ni rafiki yangu sana, akaenda kwa namna alivyoweza, akamlaghai binti akafanikiwa.

Sikuweza kugundua chochote kati yetu kutokanana kuwaamini sana jamaa zangu, Huyu wa tatu akatumia laptop yangu akawa haja log off kwa facebook account yake, kucheki alikua anachati na shemejiye, walikua wametuhumiana sana kwa vitu vingi vilivyonipa dots za kuchunguza na kupata nilioandika hapo juu. Iliniuma sana, lakini nashukuru niliachana naye kwa amani na sikuwahi kukutana naye kimwili kwa kipindi chote cha miaka hio miwili tuliokaa pamoja

Japo sikuweza kumlaumu Yule binti, maana najua mashemeji huwa calculated sana wanapopanga usaliti wao kwa kuwa wanajua madhaifu ya pande izo mbili na wao hujionesha kuwa ndio wako solution.

Jamaa bado ni rafiki zangu ila sasa najua nini cha kusema na yupi na kwa nini, ili nini na wakati gani. Nashukuru pia nimeweza kuwasamehe rohoni kwangu maana hasira nilioipata sikuweza hata kuwaulizaga juu ya usaliti wao, so mimi najua usaliti wao ila wao hawajui kama nilijua.

MWISHO: Nadhani wengi kati yetu tutakuwa kwa namna moja au nyingine tumeumizwa au kuumiza wale tuliowaamini/waliotuamini SANA.
Wewe limekukuta lipi kutokana na kuwaamini wa karibu yako sana????????

Asanteni sana. Huuuuuuu! Angalau nimepumua.
 
pole sana kijana wasichana wengi ndivyo walivyo huwa hawana subira na wana moyo wa huruma na udhaifu ndani yao na kutofikiri kabla ya kutenda maana hurubuniwa kwa kitu kidogo sana mshukuru mungu utampata atakae kupenda kwa dhati maana kisicho riziki hakiliki pole sana
 
Wadau, salaam sana.

Imetokea akatika maisha yangu ya uhusiano mara tatu kwa binti mmoja. Kutoka kwa mashemeji (rafiki zangu wa kiume niliokuwa nao chuo)

WaKwanza:Kila siri yangu niliyokuwa namweleza, ilikua inafika kwa dia pasipo mimi kujua,ila kuna maswali elekezi niliyokuwa naulizwa ulizwa, hatimaye baada ya kumbana sana akasema ukweli jamaa alimtongoza kwa gia ya kunichafua, huyu hakufanikiwa.

WaPili:Alimtamani shemejiye akatengeneza mazoea sana, kutokana na misimamo yangu ya kidini kipindi iko, nilikuwa nimepanga kutokutana naye kimwili hadi tuoane maana nilikuwa siriaz na binti alilijua hilo barabara!, Jamaa yangu akaenda na kisingizio kuwa mimi sio rijali ndio maana sikutaka kukutana naye kimwili, huyu akafanikiwa.

WaTatu: naye ni rafiki yangu sana, akaenda kwa namna alivyoweza, akamlaghai binti akafanikiwa.

Sikuweza kugundua chochote kati yetu kutokanana kuwaamini sana jamaa zangu, Huyu wa tatu akatumia laptop yangu akawa haja log off kwa facebook account yake, kucheki alikua anachati na shemejiye, walikua wametuhumiana sana kwa vitu vingi vilivyonipa dots za kuchunguza na kupata nilioandika hapo juu. Iliniuma sana, lakini nashukuru niliachana naye kwa amani na sikuwahi kukutana naye kimwili kwa kipindi chote cha miaka hio miwili tuliokaa pamoja

Japo sikuweza kumlaumu Yule binti, maana najua mashemeji huwa calculated sana wanapopanga usaliti wao kwa kuwa wanajua madhaifu ya pande izo mbili na wao hujionesha kuwa ndio wako solution.

Jamaa bado ni rafiki zangu ila sasa najua nini cha kusema na yupi na kwa nini, ili nini na wakati gani. Nashukuru pia nimeweza kuwasamehe rohoni kwangu maana hasira nilioipata sikuweza hata kuwaulizaga juu ya usaliti wao, so mimi najua usaliti wao ila wao hawajui kama nilijua.

MWISHO: Nadhani wengi kati yetu tutakuwa kwa namna moja au nyingine tumeumizwa au kuumiza wale tuliowaamini/waliotuamini SANA.
Wewe limekukuta lipi kutokana na kuwaamini wa karibu yako sana????????

Asanteni sana. Huuuuuuu! Angalau nimepumua.

pole sana mdau, katika maisha simwamini rafiki yeyote yule,
ngoja nikupe mchapo moja, kuna rafiki yangu ktk stori akaniuliza yule demu vipi, nikamwambia nilipita mara moja enzi za shule, yani jamaa na utu uzima wake akaenda moja kwa moja kumwambia yule demu nilichokiongea, palepale on sport demu kaniambia umefanya nini sasa?

mpaka kesho simshirikishi mtu yeyote jambo lolote kuhusu life langu, tena sasa hata nafanya kazi gani sisemi, natamani kuishi mbali kabisa, hii imenipa hasira sana.
 
Asante mkuu, pole nawe inaelekea kuwa na mipaka kunawashinda wengi, hasa sisi wanaume labda.
 
Wadau, salaam sana.

Imetokea akatika maisha yangu ya uhusiano mara tatu kwa binti mmoja. Kutoka kwa mashemeji (rafiki zangu wa kiume niliokuwa nao chuo)

WaKwanza:Kila siri yangu niliyokuwa namweleza, ilikua inafika kwa dia pasipo mimi kujua,ila kuna maswali elekezi niliyokuwa naulizwa ulizwa, hatimaye baada ya kumbana sana akasema ukweli jamaa alimtongoza kwa gia ya kunichafua, huyu hakufanikiwa.

WaPili:Alimtamani shemejiye akatengeneza mazoea sana, kutokana na misimamo yangu ya kidini kipindi iko, nilikuwa nimepanga kutokutana naye kimwili hadi tuoane maana nilikuwa siriaz na binti alilijua hilo barabara!, Jamaa yangu akaenda na kisingizio kuwa mimi sio rijali ndio maana sikutaka kukutana naye kimwili, huyu akafanikiwa.

WaTatu: naye ni rafiki yangu sana, akaenda kwa namna alivyoweza, akamlaghai binti akafanikiwa.

Sikuweza kugundua chochote kati yetu kutokanana kuwaamini sana jamaa zangu, Huyu wa tatu akatumia laptop yangu akawa haja log off kwa facebook account yake, kucheki alikua anachati na shemejiye, walikua wametuhumiana sana kwa vitu vingi vilivyonipa dots za kuchunguza na kupata nilioandika hapo juu. Iliniuma sana, lakini nashukuru niliachana naye kwa amani na sikuwahi kukutana naye kimwili kwa kipindi chote cha miaka hio miwili tuliokaa pamoja

Japo sikuweza kumlaumu Yule binti, maana najua mashemeji huwa calculated sana wanapopanga usaliti wao kwa kuwa wanajua madhaifu ya pande izo mbili na wao hujionesha kuwa ndio wako solution.

Jamaa bado ni rafiki zangu ila sasa najua nini cha kusema na yupi na kwa nini, ili nini na wakati gani. Nashukuru pia nimeweza kuwasamehe rohoni kwangu maana hasira nilioipata sikuweza hata kuwaulizaga juu ya usaliti wao, so mimi najua usaliti wao ila wao hawajui kama nilijua.

MWISHO: Nadhani wengi kati yetu tutakuwa kwa namna moja au nyingine tumeumizwa au kuumiza wale tuliowaamini/waliotuamini SANA.
Wewe limekukuta lipi kutokana na kuwaamini wa karibu yako sana????????

Asanteni sana. Huuuuuuu! Angalau nimepumua.

Angalia akina Kongosho, lara 1 wasikuite zombie...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu asnte sana, umeniongezea kitu.
hakuna siri ya watu wawili mkuu.....
Siri ni yako hadi unaingia kaburini....

Pia lazima kuwe na distance kati ya rafiki zako na mpenzio.....
 
Shemeji shemeji huku wanazima taa

Wee hushangai hata mapresidaa hukimbia walinzi wakiwa wanakwenda kwa vifaa vyao??

Wee unaonesha rafiki kwenye hazina yako? Lazima ujute

Mie nilikoswa koswa na mshale, ila sijui walikwanguana nikapiga biti tu ila sikutema mzigo
 
Iliwahi nitokea ishu kama yako jamaa alimtongoza demu wangu bahati tu ni kwamba yule binti aliniambia tangia hapo jamaa nilimweka mbali,binafsi siwezi kumheshimu mtu anayezunguka shem zake
 
Mkuu, nilikuwa nimelowea sana kwa dini, na niliamini ningekuwa nimejenga trust kubwa sana ya uvumilivu kwa mwenzangu kwa kujizuia, Faida niliopata nilijifunza sana mazoezi ambayo hadi leo yamenijenga sana. upande wa pili kumbe nilionekana nyuki wa mashineni, maana wana kelele sana lakini hawaumi.

Tena zombie kidogo basi? wee wenzio wanakula wee unashangaa shangaa tu

MMh si mwishowe wawa nyoka wa maonesho, unakula unga tu
 
Ha ha ha ha, nyuki wa mashineni

Pole, ndio kujifunza lakini, kuanzia hapo unakuwa makini

Mkuu, nilikuwa nimelowea sana kwa dini, na niliamini ningekuwa nimejenga trust kubwa sana ya uvumilivu kwa mwenzangu kwa kujizuia, Faida niliopata nilijifunza sana mazoezi ambayo hadi leo yamenijenga sana. upande wa pili kumbe nilionekana nyuki wa mashineni, maana wana kelele sana lakini hawaumi.
 
Wadau, salaam sana.

Imetokea akatika maisha yangu ya uhusiano mara tatu kwa binti mmoja. Kutoka kwa mashemeji (rafiki zangu wa kiume niliokuwa nao chuo)

.....

MWISHO: Nadhani wengi kati yetu tutakuwa kwa namna moja au nyingine tumeumizwa au kuumiza wale tuliowaamini/waliotuamini SANA.
Wewe limekukuta lipi kutokana na kuwaamini wa karibu yako sana????????

Asanteni sana. Huuuuuuu! Angalau nimepumua.
pole sana kijana, ni maisha tu. wapo baadhi ya marafiki **** potezea tuu na move on. loyal friends are few and far between, mie ninaye besti ninayewempa siri zangu hata ile nzito bila hofu. Jipange tuu utapata good bro someday
 
Asante Mkuu, niliamini kweli hujafa hujaumbika, imagine mabinti wako wengi sana lakini mtu anafikia hatua ya kushuhudia kuwa wewe sio mwanaume kamili kwa shemeji yake? hatari, na ingekua ni kweli siko kamili na ni siri yangu nilimfichia kama best friend si ndio ningetamani kuhama chuo japo hakihamiki kwa sie akina kayumba? ilinitisha sana, lakini nilijifunza sana. Real friends are there but very few Mkuu.

pole sana kijana, ni maisha tu. wapo baadhi ya marafiki **** potezea tuu na move on. loyal friends are few and far between, mie ninaye besti ninayewempa siri zangu hata ile nzito bila hofu. Jipange tuu utapata good bro someday
 
Identify your friends by their characters. Usimwamini kila mtu katika maisha. Nimewahi kua na marafiki wenzangu wa kiume ambao tuliiishi kwa umoja sana hata wazazi wetu waliheshimu uhusiano wetu. Siku moja niligundua kua mambo yangu ambayo nilimshirikisha rafiki yangu mmoja alienda kusimulia wenzake. Nilipokua kidato cha tano rafiki zangu watatu wa karibu sana, nilitunga stori kama mkasa ulionikuta. Kila mmoja nilimpa kipande cha stori bana. Siku mmoja nikiwa mabibo wakati nasoma chuo kuna jamaa amabaye nilimpa kipande cha stori akanisimulia complete stori. Hapo nikaamua kudelete marafiki wote wa nyumbani, na mpaka sasa sijawa na rafiki wa kujua kila mambo yangu. Acha marafiki ambao wanatongoza hata shemeji yao kabisa huku wakijua A-Z kua ni shemeji yao. Huwa nawadharau sana watu hawa. Kifupi usimwamini rafiki kiasi cha kumwambia mipango ya maisha yako.
 
Pole sana Tized,,
Marafiki wema ni zawadi
::
Usimwache rafiki wa kweli kwa kupata rafiki mpya.Upya si upya kama upya ulivyo subiri hadi kipya kichakae.
::
Usitoe siri zako kwa yeyote hata kivuli chako.Na hatari zaidi usimpe siri yeyote mke umpendae kuliko uhai wako.
::
Ni kweli tunahitaji kuzungumza misongo yetu ya mawazo kwani tunapoizungumza misongo hiyo huishiwa nguvu.Tuwe makini nani wa kumweleza,akikosa ni kheri uandike ktk karatasi kisha uichome.
::
Lakini usiumie sana,Kikulacho ki nguoni mwako na tunaumizwa na walio karibu yetu.SAMEHE USIPOSAHAU badili maumivu yako kuwa funzo muhimu kwa maisha yako.
=
 
Mkuu kasyabone tall, nimeipenda sana trick yako na ushauri wako, leo nimetoa mzigo mkubwa sana uliokuwa umekaa ndani sana, pia nazidi kujifunza kutoka kwenu wakuu. Mna busara sana wakuu, mbarikiwe.
 
Mkuu Tetra, Asante sana kwa busara zako, nikichanganya na kidogo nilizopewa, ntakuwa makini sana. well said.

Back
Top Bottom