Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu Ni ushauri kwa vijana wenzangu ambao tunatarajia kuwa na watoto siku/miaka ya karibuni na hasa baada ya kufunga ndoa.kama mnavyojua Hawa wanawake wetu wana Siri nyingi walizobeba kuhusu baba...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za mwisho wa mwaka, Habari za mchana wapendwa wote wa humu MMU, Habari za siku mbili tatu nilizopotea humu.... Nipo nimejaa tele likizo imeninogea basi nazunguka kila mahali kigulu na...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wengi wanasema mapenzi no upofu hakika nimeamini hizi kauli za wahenga wetu... Huyu dada nimempenda sana,wengi wanamponda wanaomjua wanamsifia sana. Huyu dada ana elimu nzuri ya chuo na ya mtaani...
7 Reactions
390 Replies
29K Views
Habari za majukumu wapendwa. Niliwahi kudadisi kuhusu njia za uzazi wa mpango hususani wanazotumia wanawake kama ya vidonge, vijiti, vitanzi, na kuyapata matokeo ya walio wengi wakilalamikia...
7 Reactions
52 Replies
16K Views
Leo nitatoa ushauri wangu kwa ufipi tu na siku nyingine nitatoa kwa urefu kwa kutoa simulizi ya mikasa niliyopitia na mafanikio niliyopata katika maisha yangu. Ushauri wangu ni kwamba ukitaka...
11 Reactions
63 Replies
11K Views
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha tiririka na serereka zako tafadhali. Nawasilisha.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau nina katabia ka kupenda kina dada wenye makalio makubwa na laini, kila nikijaribu kuacha haipiti mwezi nafeli, na mazingira ya kazi haşa nadeal na jinsia Ke kwa sana. Nifanye nini kuachana...
6 Reactions
207 Replies
26K Views
Shukrani za dhati zimwendee mwenyezi Mungu kwa kunisaidia kuingia mwaka mpya. Kiukweli kwa sasa naishi kama nusu mfu.Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa sina uhakika kama nitaweza kuiona siku ya...
7 Reactions
82 Replies
7K Views
Hello wadau. Wife kasafiri since mwezi wa 11 mwaka 2018 kwenda kwa Wakwe zake kwa maandalizi ya kujaza dunia Ni matumaini atarejea baada ya miezi 6, nimejitahidi kuishi bila kusex kwa miezi 2...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Hii ni wiki yaa pili sasa tangu nimeacha huu mchezo wa CHAPUTA ingawa sio kazi lahisi sana lakini ninajikaza sana,ninafanya mazoezi,ninakuwa busy,pia nimeacha kabisa kumuangalia Mia khalifa...
17 Reactions
228 Replies
35K Views
Naombeni jamani tusaidiane hili. Mume wangu alikuwa masomoni nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili, amerudi hivi karibuni. Aliporudi kanunua line ya Airtel ambayo ndio ninayoifahamu. Mie sikujua...
1 Reactions
131 Replies
11K Views
Nilimpenda na kumuweka wazi kuhusu kumuoa, alinikatalia kwa kigezo cha dini, sasa kakubali rasmi mimi kuwa mchepuko wake na sina hiyana kwa kuwa bado cjapata mke ngoja niendelee kuchipuka, ingawa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Nikiwafata wenye 26 - 30 wengi wanazingua sana. Lakini vitoto vya 21-22 nang'oa kirahisi sana. Na mimi napenda waliokomaa akiri ili tuende sawa maana nipo kwenye 30 something. Nini inaweza kuwa...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Tarehe kama ya leo miaka kadhaa ilikuwa ni siku nzuri sana kwangu,japo nilikuwa bado mtoto ila amini ulipozaliwa tu moyo wangu ulipata furaha ambayo sikujua ilitoka wapi. Utotoni mwangu nilikuwa...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
NYUNDO NZITO KWA WADADA, Umepata Mume, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Alikuwa hataki kukupeleka lkn mwishowe akaona...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Katika gazeti la Mwananchi la leo tarehe 18/8/2013, limeripoti kwamba, katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa mkoani Kilimanjaro wamelazimika kutumia mifuko ya rambo (Malboro)...
8 Reactions
96 Replies
9K Views
Sometime in 1995, my father told me this, " To know is a blessing and to do not know is a curse ". Akaendelea kusema, " mtu mmoja siyejua kusoma,akiwa amechoka sana, alikaa kwenye...
8 Reactions
82 Replies
6K Views
Kuna mitaa ukipita unaweza ukajikwaa kwa kugeuza shingo
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Kuna hii habari ambapo mzazi anampeleka mtoto kufanya kazi za ndani sehemu. Unakuta huyu mtoto ni chini ya miaka 18. Cha ajabu ni kuwa mzazi ndiye anayekuwa anachukua mshahara au wanapokezana na...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Mwaka umeanza. Ndio kwanza mwaka mbichi. Natoa nafasi nyingine tena tuweze kuelimishana mambo mbalimbali juu ya tendo nyeti. Tendo la ndoa. Njoo hapa uulize swali lolote juu ya tendo la ndoa...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom