Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Habari za mwisho wa mwaka,
Habari za mchana wapendwa wote wa humu MMU,
Habari za siku mbili tatu nilizopotea humu....
Nipo nimejaa tele likizo imeninogea basi nazunguka kila mahali kigulu na njia kizungu wanasema (to explore the city).
Leo nimerudi mapema nikasema wacha nisimulie yanayojiri huku niliko na Dadii....
Basi jana jioni ile tumerudi hotelini kutoka kwenye matembezi yetu mie nikaingia bafuni kuoga ili kujiandaa na mtoko wa usiku. Sasa wakati naoga Dadii akaniambia Kasie naomba niimbie wimbo nna kiu.... hehehehehheheee akili ya Kasie muda wote inachaji mahaba. Bila kupitisha dakika ukanijia wimbo wa Ray C - Nataka Niwe an Wewe Milele.....
Nikalegeza sauti bibi wa watu na kuanza kuimba hehehehehhehehe (mnisamehe ntasimulia vichache vilivyotokea)
Niliimba maneno machache tuu ya huo wimbo, ila baada ya hapo tulijikuta tunatoka bafuni saa nne usiku......
Nataka niwe na wewe milele, Nataka tuwe na watoto Dadii
Nataka tuishi wote pamoja, nataka niwe na wewe milele.....
Siku niliyokuona macho yangu yalistuka....
Nilijua roho yangu, mimi kwako imefika
Na sasa tuko pamooja, uwe wangu niwe wako
....................................................................................
Penzi sitolibadilii, kwa udi hata ubani
Penzi letu liwe taaamu, tamu lishinde asali
Penzi usinidhulumu, nipe raha za ndani zote
(Raha) Ziishi moyoni mwaangu, milele hata milele
(Raha za penzi letu) Ziwaudhi MAADUI wasopenda penzi letu
Ziwaudhi MAADUI wasopenda penzi letu
Kila kukicha natabasamu
Nina furaha kuwa na wewe
Wanipa raha bila karaha
Nina furaha kuwa na wewe..........
Usishangae naimba tuwe na watoto na Dadii japo tu wazee.......(tunafunga mwaka....)
Ukiacha habari ya kufunga mwaka ni Mahaba yameshika hatamu, yanayopambwa na nyimbo, sauti kama ya bi. Kidude, na madikodiko juu hehehehehheee.
Skamoo Dadiii.... Hapana chezea mahaba ya milenia, aka mahaba ya kufungia mwaka wuuuhuuuuu.....
Heri ya Mwaka Mpya Nyote.
Kasinde Matata.
Ever Smiling Kasie.