Nimeingia mwaka mpya nikiwa nusu mfu.

Nimeingia mwaka mpya nikiwa nusu mfu.

Pacbig

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Posts
1,095
Reaction score
2,093
Shukrani za dhati zimwendee mwenyezi Mungu kwa kunisaidia kuingia mwaka mpya.

Kiukweli kwa sasa naishi kama nusu mfu.Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa sina uhakika kama nitaweza kuiona siku ya kesho.Naishi katika msongo mkubwa wa mawazo ambao sijawahi kuupata katika maisha yangu yote.Inaelekea wiki ya tatu sasa nafikiria kujiua.Of course I don't see if I am worthy in this world, to continue living is a great burden that I can't handle to carry.Commiting suicide will be a better option to run away from negative thought.

Tatizo kubwa ni kwamba I can't find love in this world.Most of the time I cry in my bedroom and ask God "was I created to be alone".At 23 sijawahi kuwa na mpenzi kati ya wanawake wooote wanaozurura mitaani.Kibaya zaidi women's who comes around to me I never love them and those whose I love they reject me.Hata nikijaribu kujifunza kuwapenda nisiowapenda bado siwezi kuwapenda.

Kinachoniuma zaidi hata familia yangu haijawahi kunionyesha upendo( at least my mom). Unakuwaje na baba ambaye anaweza akamaliza mwaka bila kukupigia simu mpaka umtafute wewe kila siku.Hivyohivyo kwa kaka,Dada, ndugu na jamaa wengine.Huwezi kupata hata SMS ya happy new year toka kwao.This is the great loniless that is about to kill me.Kuna kipindi naona hata Mungu kama ameniacha kwa kuruhusu kuwa mtu mwenye msongo wa mawazo na maumivu ya moyo kiasi hiki.No its better to die

My last word to you nikiwa juu kabisa ya ghorofa floor ya mwisho. Wazazi mliozaa watoto jitahidini kuwa karibu nao na kuwaonyesha mapenzi.Wanaweza wakakosa mapenzi toka kwa walimwengu lakini mapenzi yenu kwao yakawapa nguvu na tumaini.

God bless you all enjoy your life kwa haya maumivu nayo yapata its better if die today.Asante sana L,E,B and C niliwapenda sana tena kwa hisia Kali lakini rejection yenu kwangu illiniumiza basi tu na ilinipa inferiority complex mbaya sana but Mungu awabariki pia.I'm sorry my mom najua utaumia sana but sina jinsi acha nitafute pumziko la nafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mtoto ujiue kisa mapenzi??

Umri wako bado mdogo sana, tafuta pesa utawapata warembo mpaka utawakimbia!!!

Aisee Pole sana ila don't give up on life. Please understand what you've described (kupendwa na usio wataka while getting rejected na unawapenda) happens more often than not, kwetu sote. So its not unique to your experience. At 23 you still have time kukutana na a fulfilling partner. Just don't give up.
 
Pacbig, haupo lonely kabisa. Mungu yupo pamoja na wewe. Sijui unafanya kazi gani, lakini kuna wakati Mungu anakupitisha kwenye issue ya kuwa lonely, kwa sababu ya kazi ambayo anakuandalia. Kazi aliyokuandalia siyo ya kukutana na watu na kumingle nao, ni kazi ya kukaa muda mwingi peke yako.

Mwamini Mungu, mpe hoja zako. Hata ukijiua, utaenda kukutana na hukumu ya Mungu, sasa kwanini usianze kuongea naye hapa duniani.

Be strong, mwanaume ni kujikaza na kuvumilia, kuna watu wanapata ajali na kupooza au kukatwa viungo lakini bado wanadunda.

Usife moyo.
 
Shukrani za dhati zimwendee mwenyezi Mungu kwa kunisaidia kuingia mwaka mpya.

Kiukweli kwa sasa naishi kama nusu mfu.Mpaka sasa hivi ninavyoandika hapa sina uhakika kama nitaweza kuiona siku ya kesho.Naishi katika msongo mkubwa wa mawazo ambao sijawahi kuupata katika maisha yangu yote.Inaelekea wiki ya tatu sasa nafikiria kujiua.Of course I don't see if I am worthy in this world, to continue living is a great burden that I can't handle to carry.Commiting suicide will be a better option to run away from negative thought.

Tatizo kubwa ni kwamba I can't find love in this world.Most of the time I cry in my bedroom and ask God "was I created to be alone".At 23 sijawahi kuwa na mpenzi kati ya wanawake wooote wanaozurura mitaani.Kibaya zaidi women's who comes around to me I never love them and those whose I love they reject me.Hata nikijaribu kujifunza kuwapenda nisiowapenda bado siwezi kuwapenda.

Kinachoniuma zaidi hata familia yangu haijawahi kunionyesha upendo( at least my mom). Unakuwaje na baba ambaye anaweza akamaliza mwaka bila kukupigia simu mpaka umtafute wewe kila siku.Hivyohivyo kwa kaka,Dada, ndugu na jamaa wengine.Huwezi kupata hata SMS ya happy new year toka kwao.This is the great loniless that is about to kill me.Kuna kipindi naona hata Mungu kama ameniacha kwa kuruhusu kuwa mtu mwenye msongo wa mawazo na maumivu ya moyo kiasi hiki.No its better to die

My last word to you nikiwa juu kabisa ya ghorofa floor ya mwisho. Wazazi mliozaa watoto jitahidini kuwa karibu nao na kuwaonyesha mapenzi.Wanaweza wakakosa mapenzi toka kwa walimwengu lakini mapenzi yenu kwao yakawapa nguvu na tumaini.

God bless you all enjoy your life kwa haya maumivu nayo yapata its better if die today.Asante sana L,E,B and C niliwapenda sana tena kwa hisia Kali lakini rejection yenu kwangu illiniumiza basi tu na ilinipa inferiority complex mbaya sana but Mungu awabariki pia.I'm sorry my mom najua utaumia sana but sina jinsi acha nitafute pumziko la nafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dont lose hope.
Admin tafuteni njia ya kuwasiliana na huyu jamaa ,mbaya zaidi nchini hatuna suicide hotline[emoji20][emoji20]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu.
Usikate tamaa, utapata tu umpendaye akupendaye.Ni swala la mda tuu, wewe bado mdogo.Jitahidi kuwa na marafiki na kukaa nao, usikae sana peke yako.

Pia tafuta ndugu mnayeelewana vizuri umwambie unavyojisikia kuhusu mahusiano/undugu wenu.

Usikate tamaa, 2019 italeta historia mpya.
Asanteni wadau japo ushauri wenu kidogo umenipa faraja I'm not going to do that.Japo naumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda u tube....tafuta video za Agrey Mwandri.. Hakika nakwambia hutaona sababu ya kujiua ...

Utacheka alafu utajiona fala. Ufe uache burudani zote hizo za duniani......

......injiniaaa injiniaaaa somaaa hapoooo. Somaaaaa.........
 
Mm nishatambulishwa na kutambulisha kwa wazazi lakini mwisho wa siku bibie akapewa mimba na kuolewa na njemba nyingine..

Nikachukua zangu Pepsi baridiiii nikanywa nikasema asante Mungu huenda kuna baya umeniepusha nalo kwa huyu demu..

Mwaka huu mwanzoni nilikua na demu nilimpenda kweli kweli aliweza kutoka zake DSM na kunifata huku mkoani niliki kwa gharama zake, bt ikafika time haeleweki mwisho akasema tuachane. Nikasema sawa nenda salama na maisha yakaendlea

Bt at the end ote walioniacha wanarud kuomba msamaha turudiane huyo mmoja hadi ameachika kwa Mme wake ili turudiane ila Mimi hua sirudi nyuma...

Ujiue kisa mapenzi??? Kisa hupendwi??? Huwezi kua serious si ujipende mwenyewe tu shida iko wapi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unataka kujiua kisa huna mpenzi, kisa hupigiwi simu, kisa hujatakiwa happy new year! Hivi mkui unataka kuacha kuna vitu vitamu kama mananasi, kitimoto, wali maharage kisa hayo tu. Hauko serious.
Mkuu nakuambia hivi, ukifa hutaweza kufaidi kuangalia chura za dada zetu tunaopishana nao mabarabarani.
Ukifa hutoweza kusikiliza mziki mzuri.
Ukifa kwa kujiua utatukanwa sana mkuu, hadi maiti yako itakuwa inajificha uso kwa aibu na kujilaumu.
Hivi mkuu haujui ukifa funza wanakula kila nyama ya mwili? Unataka kujipeleka huko? Wacha kije kwa suprise wala si kukifuata kwa kiherehere.
 
Nenda u tube....tafuta video za Agrey Mwandri.. Hakika nakwambia hutaona sababu ya kujiua ...

Utacheka alafu utajiona fala. Ufe uache burudani zote hizo za duniani......

......injiniaaa injiniaaaa somaaa hapoooo. Somaaaaa.........
Vitu kama hivi ndo huwa binanifanya mimi nisipende kifo. Imagine yule mtu aliyekufa kabla ya lile songi la mwanri lasa 'ngapi huko' halijatoka ana hasara kiasi gani. Mleta mada anajitoa akili tu.
Ngoja niliplay tena.
 
Asanteni wadau japo ushauri wenu kidogo umenipa faraja I'm not going to do that.Japo naumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
We kijana acha utoto! Nakumbuka Diamond mwaka 2010 alikuwa anahangaika kama wewe na Ona leo anavyogida apendao na wengine wanajilengesha kwake. Cha msingi Diamond alitafuta hela nawe itafute hata akina Demiss baadala ya kuja Mapinga platinum na kuita watakutafuta tu
 
Back
Top Bottom