Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwaka umeanza. Ndio kwanza mwaka mbichi. Natoa nafasi nyingine tena tuweze kuelimishana mambo mbalimbali juu ya tendo nyeti. Tendo la ndoa. Njoo hapa uulize swali lolote juu ya tendo la ndoa...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
BI MKUBWA ( sehemu ya 1 ) Ni mwanamke ambaye alikuwa akiwanga usiku kila chumba katika nyumba yetu iliyokuwa jijini Arusha. Nilikuwa naogopa kumwambia mume wangu kuhusu uchawi wa mama ake na tabia...
4 Reactions
86 Replies
27K Views
Marafiki na members wote salamu kwenu na heri ya mwaka mpya, ama baada ya salamu naomba kwenda kwenye mada husika hapo juu ikichagizwa na maelezo haya: Nipo kwenye uhusiano na wanawake watatu tu...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
2 Reactions
34 Replies
10K Views
UMUHIMU WA MAWASILIANO Hakuna linaloweza kufanikiwa pasipo mawasiliano. Tambua kwamba mawasiliano ni kati ya nafsi na nafsi – hivyo nafsi zisipokuwa na mawasiliano ina maana miili inayobeba nafsi...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
7 Reactions
127 Replies
11K Views
Jaman habarini!!! kuna mwanamke anashida ya kupata mtoto sasa kaniomba nimpe mimba, sasa tangu wiki iliyopita kuna mtu wangu namgegeda mpaka leo sijapumzika hata siku moja, tatizo linakuja...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Kuzoeana sana na manzi, ni kweli kunaleta ugumu ukitaka kumtokea??
0 Reactions
19 Replies
2K Views
....Amber Ruthy kaolewa na jamaa yake, Ukipita kwa mitandao ya kijamii watu mapovu kibao na mbaya zaidi Wanajifanya Kama lile tukio ni baya Sana kama Kaua. ...Ajabu ni kwamba Wao wanyewe wengi wao...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mim ni binti wa miaka 27, Kabila langu ni Mbena, Mimi ni Mwalimu wa Sekondari dini yangu ni Mkristo. Sina Mtoto natafuta mume awe Mkristo na awe tayari kubeba majukumu kama Baba, awe tayari...
11 Reactions
88 Replies
10K Views
Wakuu, Nimekuwa nikafatilia sana maisha ya masister wa katoliki, masister (wengi) wana haiba ya upole sana, wanafanya kazi kwa bidii na wana upendo kwa watu wote. Naamini nina vingi vya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Amani kwenu wadau wote wa MMU Jambo la kwanza ninamshukuru MUNGU kwa neema yake aliyonipa ili niwaletee uzi huu.Ndugu wapendwa ninajua ya kwamba MUNGU anatupenda sana, ili atukomboe katika...
18 Reactions
49 Replies
14K Views
Aisee nipo Mbagala huku, mamanzi wanakamua Safari Lager kama maji. Naogopa hata kuopoa hapa aiseee.... Hawa wanaeza kukuua kitandani kabisa. Me nakunywa Senge nyeusi. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Ndugu zangu skukuu inaendaje... Well,this season uchum wangu umeyumba kdogo so skukuu hiz nmezilia home, Yaan nmenunua vinywaji etc vipo tuu hapa home...misos etc,..no kutoka..sjui twende huku...
6 Reactions
93 Replies
16K Views
karibuni......... Mim bado
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hili jambo sio la utani. Nimekua nikijiuliza maswali mengi yasiyo na majibu kuhusu wanawake ninaokua nao alafu wanaolewa pindi tu tunapoachana. Hua nashindwa kuelewa tatizo ni langu kwamba...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Mwaka mpya tumeuona tukiwa na afya Habari zenu. Nimefuata maneno ya NEY WA MITEGO kwenye nyimbo aliyoimbaga na B GWAY nyimbo inaitwa SIJACHUKIA. alisema DEMU AKIKUKATAA KAMATA DADA YAKE CHAPA...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ili kuweza kuchangia uzi huu naomba ujielekeze kwenye mitazamo ifuatayo; - Sababu za kuwepo kwa ndoa takatifu. - Hisia za mwanamke kutaka kujisimamia mwenyewe maisha yake bila kuhitaji mwanamume...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habarini. Hivi ni kwann kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwapo na trend mpya ndani ya mahusino inapotokea kutoelewana watu option namba moja ni kujiona sio perfect couple yaani hawakustahili kuwa...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari zenu wadau!! Nianze kabisa kwa kuelezea huu mlolongo wa matukio ambayo nimekua nafikiria kuhusu huyu baba yangu mzazi, mimi ni kijana ambae niseme kuwa ndio naanza kuingia huko kwani...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom