Nawezaje kuishi bila kufanya mapenzi, Mke amesafiri na ndoa bado changa

Big TIMERS

Senior Member
Dec 5, 2018
120
140
Hello wadau.

Wife kasafiri since mwezi wa 11 mwaka 2018 kwenda kwa Wakwe zake kwa maandalizi ya kujaza dunia

Ni matumaini atarejea baada ya miezi 6, nimejitahidi kuishi bila kusex kwa miezi 2 naona maji yako shingoni

Wanaume wenzangu wakongwe ndani ya ndoa mliwezaje kuvuka hichi kihunzi? Ndoa ndio kwanza ina miezi 7
 
Duuuh....hz ndoa hz n hovyo sana,yaan unataka kuisaliti ndoa kisa tu mkeo kasafiri kwa miezi??
HV mfano akipata kansa ya uke na madokta wakasema hatakiwi kufanya mapenzi ,HV utakuwa mwaminifu kweli??
Ndoa n wito kwa kweli na nilichogundua watu wengi tunaoana bila kupendana,n bhc tu umri umefika ila upendo wa dhati hakuna....hopeless

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew ni Me au Ke?
 
Hiyo kansa ikose kwa kwenda mpaka ikakae hadi kwenye uke
hilo ni jaribu kubwa sana sana
litanishinda
 
Kama ndoa ina miezi saba na unasema kaenda ukweni kijitazamia ina maana mlifunga ndoa tayari ana mimba?
Kama uliweza kuzini kwanza nadhani hata sasa unaweza kuzini.
Kwanini aende ukweni kujitazamia ina maana wazazi wako ni wakunga?
Raha ya kupata mtoto umpeleke mkeo wodi ya uzazi wewe mwenyewe!!
 
Hiyo kansa ikose kwa kwenda mpaka ikakae hadi kwenye uke
hilo ni jaribu kubwa sana sana
litanishinda
Bro...Kansa ya uke IPO..tunaita vaginal carcinoma... Yaan kama cc wanaume tu tunaweza kupata kansa ya dushe yaan penile carcinoma na ukiipata hii n mwisho wa kazi.....sasa kweli utampenda huyo mkeo kwa uaminifu kama sex is only ur desire in her??

Ndoa ngumu jmn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom