LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,834
Sometime in 1995, my father told me this, " To know is a blessing and to do not know is a curse ". Akaendelea kusema, " mtu mmoja siyejua kusoma,akiwa amechoka sana, alikaa kwenye sehemu iliyoandikwa USIKAE HAPA KUNA SHOTI YA UMEME, mtu huyo alipigwa shoti na kufa, kilicho muua ni laana ya kutokujua so, mwanangu kujua ni muhimu sana.. Unatakiwa uwe unajua vitu vingi vingi, ni muhimu sana na itakusaidia sana katika maisha yako. Kwa mfano mbali na kufahamu kuhusu masomo ya darasani, unatakiwa uwe unajua kucheza kung fu (karate ), kuogelea, miti ya aina mbalimbali na matumizi yake, fahamu kuhusu mambo mbalimbali muhimu yanamuhusu mwanadamu katika maisha yake ya kila siku, kwa mfano, ndugu yako akikamatwa na polisi, uwe unajua taratibu za kumtoa polisi, lijue jina na mahali ilipo ofisi ya mwenyekiti wa mtaa, afisa mtendaji, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, rais wako and all that..Hakikisha unajifunza kitu kipya walau kimoja katika kila siku iendayo kwa Mungu.. Ushauri huu umenisaidia katika mambo mengi sana, makubwa, madogo na ya kawaida. Mfano, jumamosi iliyo pita mimi na team yangu tukiwa kwenye kichali kimoja cha burudani, tulibahatika kukutana na totoz za ukweli,sasa wakati tunapiga stori, likaja suala la madawa ya asili ( sio ya kichawi lakini, haya ya design ya ndodi)... Mtu mzima, nikaanza kufunguka hapo, basi mrembo mmoja akawa so interested na namna nilivyokuwa naelezea masuala ya herbs kwa ufanisi, she said " We kaka unajua haya mambo kama mkaka mmoja wa Jamii Forums, anaitwa Mzizimkavu". Nikamwambia " I am the very Mzizimkavu" . Stori zikaanzia hapo, hadi sasa mtoto mzuri kisha nipa papuchi tayari. Najua atasoma hapa na atanielewa but am sure hawezi kunimind coz amesha data na mimi tayari. Sana sana atasema " Hili nalo"! Ila dah! nalikuwa sijui kama Mzizimkavu anaheshimika hivi, coz mrembo ninaye mzungumzia hapa, si mrembo wa polepole! Back to my point, " TO KNOW IS A BLESSING".