Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

You don't know what is like Baby You don't know what is like To Love Somebody To Love Somebody The way that I Love Yoooohuuuu! Wahenga Mpoo?!
9 Reactions
115 Replies
10K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Mimi sina .Ila natupia kituko cha mchina Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
5K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Dadii wajua leo nina furaha...... Hisia zangu zakuita, uzidi kujaa moyoni... Kwasababu ni wewe tuu, nimpendaye ni wewee tuu Dadii.... Penzi letu lidumu milele yote na lishamiri kwa namna ya...
1 Reactions
2 Replies
949 Views
Daktari usijali! Najua nitakufa muda wowote kuanzia sasa. Sikutaka kuja hospitalini ila manispaa imenileta hapa. Usijali kuhusu mimi, angalia nywele zangu, zimekwisha. Mimi ni mzee lakini wewe...
21 Reactions
33 Replies
5K Views
Women are like swimming pool,Never think about who swam before u,Never think whom ur swimming with,Never think who will swim after u, just enjoy swimming
0 Reactions
2 Replies
630 Views
Malengo yetu ilikua tukuje kuoana baada ya muda. Pasipo mashaka, nilijitoa sana kwa binti huyu na hata ndugu jamaa na marafiki wote waliniona mjinga, lakini hali ile haikuweza kunifanya nikate...
11 Reactions
74 Replies
5K Views
••••KUNA MALALAMIKO NAYAPATA KUWA...!•••• ```Mabint wengi kwa nje ni mabint wazuri tu, wana mashape Mashaa Allah, yaani ni masister duu na maslay queen balaa...LAKINI TATIZO NI UCHAFU WA NDANI...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Ama kweli mapenzi hayachagui dini, kabila au rangi Huyu binti haambiliki wala hasikii anasema bora azikwe hai [emoji28] Watajijua wenyewe sisi tufanyaje sasa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
93 Replies
12K Views
Kheri ya mwaka mpya wapendwa? Baada ya kuwatakieni kheri ya mwaka mpya nikimbie moja kwa moja kwenye mada husika. Mwaka Jana nilibahatika kupata binti mrembo kutoka Tanga. Na kuamini kuwa Tanga...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Kwa kweli naweza kusema huu ni mwaka mpya 2019 na mbinu mpya za kutupiga mizinga/kuombwa pesa na wanawake au michepuko yetu inayotuburudisha nafsi Kwa style hii hawa wanawake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna zile kauli Ambazo sisi wanaume huwa zinatufanya tuchanganyikiwe kama "NIKO GETINI NJOO NIFUNGULIE" "Nataka kuja ila Sina nauli" utasikia " We njoo chukua hata tax[emoji16][emoji16] " Nakuja...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Yaan hapa niko na shemej yenu ,yule wa malengo kabsa yan,nae muheshim .tumetoka usiku huu,..mi nna simu 3,.hii nayotype hapa,nna nyingne ya kiutu uzima na nyingne for charge saving.. Bahat mbaya...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Igwee!!! Wakuu nilikuwa nimesimama mahala flani pembeni ya Saloon ya warembo wa kike nikisubiri Bodaboda nitokomee panapojulikana nilisisimshwa na mazungumzo ya wale vigori na wamama. Mmoja...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Chumbani huivua mwenyewe na kuilalia kichwani. Mechi ikiisha huivaa fasta hataki hata niiguse. Hii imekaaje wakuu?
2 Reactions
89 Replies
9K Views
nilimpeleka mke wangu kwenye hospitali moja kubwa hapa mjini kwa ajili ya kujifungua. bahati mbaya dr. aliemtibia aliongezea ufundi kwa kumtamani mke wangu na hatimae alifanikiwa kumrubuni na...
6 Reactions
196 Replies
13K Views
Habari wana jf,ngoja leo niwape dawa itakayodumisha ndoa yako na hiyo si nyingine bali ni tangawizi.Tangawizi ni moja ya chakula kinachokurejeshea uwezo wako kiume kwa kukuongezea nguvu za...
1 Reactions
22 Replies
34K Views
Kwanza nianze Kuomba radhi kwa Wanawake wote kwani siyo Siri leo kuna Mwenzenu mmoja nimempa Mkong'oto wa Kishalubela / Kikatili na hivi sasa ninavyoandika huu Uzi ndiyo natoka ' Kuhenyeshwa ' kwa...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Sasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa Na sasa jamani...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom