Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
Kuna hii habari ambapo mzazi anampeleka mtoto kufanya kazi za ndani sehemu. Unakuta huyu mtoto ni chini ya miaka 18. Cha ajabu ni kuwa mzazi ndiye anayekuwa anachukua mshahara au wanapokezana na mtoto kuchukua. Mi naona kama huu ni utumwa haijakaa poa kabisa.