Niulize swali lolote kuhusu tendo la ndoa!

Niulize swali lolote kuhusu tendo la ndoa!

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
1,153
Reaction score
1,359
Mwaka umeanza. Ndio kwanza mwaka mbichi. Natoa nafasi nyingine tena tuweze kuelimishana mambo mbalimbali juu ya tendo nyeti. Tendo la ndoa.

Njoo hapa uulize swali lolote juu ya tendo la ndoa mfano Kufika kileleni, maumivu wakati Wa tendo, kuchelewa n.k n.k

Wewe uliza Papa Mobimba atakujibu!
Muhimu: Zingatia lugha ya staha!
 
Lugha ya staha ni ipi, una maana tusitumie maneno kumma, mboo, kutombana n.k. kwa hiyo tutumie maneno gani
 
Kuna maswali mengine utashindwa kuyajibu kutokana na jinsia yako.
 
Aya mkuu mm nataka nichelewe kufika kileleni bao moja masaa 2

tendo la ndoa ni mtambuka.na linahusisha uimara wa mwili, akili pamoja na maumbile yako, lakini pia hili nitendo la watu wawili. kwa hiyo ili kufikia malengo yako ni lazima kuimarisha hayo mambo manne
 
Kwanini nikiwa na dem ambae simfeel haichukui muda nakojoa napiga kichovuuu na kwanini nikiwa na mpenzi wangu nachelewa na ninapiga gemu kali sana
 
Mwaka umeanza. Ndio kwanza mwaka mbichi. Natoa nafasi nyingine tena tuweze kuelimishana mambo mbalimbali juu ya tendo nyeti. Tendo la ndoa.

Njoo hapa uulize swali lolote juu ya tendo la ndoa mfano Kufika kileleni, maumivu wakati Wa tendo, kuchelewa n.k n.k

Wewe uliza Papa Mobimba atakujibu!
Muhimu: Zingatia lugha ya staha!
why wakati wa tendo la ndoa, wamama wanajamba sana au kutoa hewa kubwa nyuma
 
Kwanini asilimia kubwa ya wanawake hutoa mbegu shahawa kidogo ukilinganisha na wanaume?

Pia nahitaji kujua kwanini wanawake wengi wakifika mshindo huwa legelege na kuishia kulala fofofo bila hata kuvaa na kujifunika shuka
 
Back
Top Bottom