One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,
unaweza kukutana na mwanaume leo ukalala naye kesho na bado atakuheshimu na kukupenda...
Nahitaji mtu mwenye hekima na busara kunipa ushauri katika hili.
Ninaishi na msichana ambaye apendwi na ndugu zangu kwa kuwa yeye pia ajali ndugu zangu,
Kunakipindi nilikuwa masomoni maeneo...
Hoteli moja huku maeneo ya Buza na demu wangu wa kitambo, lakini mke wa mtu sasa jamaa mmoja wakili msomi mwenye mafanikio ya kutosha katika kazi zake - lakini kaachiwa watoto awaangalie wasiumie...
Dear ,
Mwaaa
Habari zako , za moyo wako , za tabasamu lako , za kicheko chako , sauti yako na kila kitu kizuri chako ? Najua kila kitu kitakuwa safi sana kuanzia moyo wako mzuri na mtamu...
Wakuu habari,
Kichwa cha habari ndo point yangu kuu,
Naomba kujua kama nina shida ,wenye utalaam kuhusu mapenzi naomba mnsaidie hapa
Naweza kuachana na mpenzi na siyo moja wala wawili ni...
Huyu Swabia alidondosha DNA enzi yuko A level, hakuwa na hela ya kumtunza mtoto na hakuwashirikisha wazazi wake. Baada ya kumaliza shule alipata mchingo wa kwenda USA. Kule alikutana na binti...
Jamaa anakatabia kakula Malaya lakini anakafamilia ka,uri mke na watoto 3 mkewe mchamungu balaa ,ila jamaa ndo kapinda .
Sasa juzi kati Malaya moja nguli tena limama limemwambia linamimba yake...
Habari zenu wana MMU!
Pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Niende kwenye mada. Naandika haya ilikupata mawazo yenu maana naamini this is a home of Great Thinkers.
Nimeumizwa Mara kadhaa kwenye...
Tofauti hazikwepeki katika maisha. Hawa wamepewa na wale wamenyimwa. Lakini binadamu tusinyanyasane wala kutishana kwa ajili ya tofauti hizo alizoweka Rabana.
Katika dunia tunayoishi kuna watu...
Sijawahi kuleta uzi wa kutaja hiki kiungo lakini leo imenibidi niseme tu.
Hawa Binadamu wenzetu wa jinsia ya KE.. papuchi zinatumika mpaka inakuwa nadra kupata zile ambazo kwa wale tuliokuwepo...
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu...
Wakuu habari ya January
mtakumbuka siku chache zilizo pita nilikuja hapa kuwalalamikia kuwa mmenipa ushauri wa kipuuzi baada ya kuachwa na shemeji/wifi yenu eti kwa sababu nimemchapa kibao baada...
Soma QT na Resittters
Kituo chetu kimekuwa ni kimbilio la waliowengi kupata Elimu ya sekondari walioikosa kwa sababu mbalimbali. Ni miaka mitano sasa tunatoa huduma hii muhimu katika ujenzi wa...
Wanaume hasa.... Wanakula mizigo ya maana... Wanawake ambao wamekaa ki kike kike... Wana ujazo wa kutosha. Binafsi mwanamke mwembamba sivutiwi naye.labda itokee tu ndo naweza kula kama nmekosa...
Twende kwenye mada.
Nàuliza kwann mnapenda kutongoza kila mwanamke hata kama hammjui?
Mtu ukisimulia unayopitia basi ujiandae Na mipm kibao.
Hata kama ni umalaya wengine mmezidi. Loh!
Wakubwa habarini za weekend?
Siku chache zilizopita nilileta uzi hapa kuwa ananipeleleza sana na hana kazi leo amepigiwa simu kwamba jumatatu aripoti Kazini.
Maamuzi yangu nimempa mwezi kama...
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.
Kinachinifanya...
Utafiti uliofanywa na gazeti la PM Express la nchini Nigeria umebaini kuwepo idadi kubwa ya wanawake wanaolalamika kukosa wanaume wenye sifa za kuanzisha nao familia, kutokana na sababu...
Vijana wenzngu mnaopenda romance acheni kulambalamba iyo mijimama na mijanamke inayotumia make up ..tutaisha kwa cancer ...manaake kuanzia juu hadi chini ni mikemikali mitupu we unalamba tu tu tu...