Juuchini
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 1,300
- 1,659
Wakubwa habarini za weekend?
Siku chache zilizopita nilileta uzi hapa kuwa ananipeleleza sana na hana kazi leo amepigiwa simu kwamba jumatatu aripoti Kazini.
Maamuzi yangu nimempa mwezi kama hatarudia ile ntaendelea nae
Shukrani kwa michango yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app