Mrejesho: Ahsanteni wana MMU kwa ushauri wa kibabe amerudi mwenyewe

tashwishwi

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,161
2,000
Wakuu habari ya January

mtakumbuka siku chache zilizo pita nilikuja hapa kuwalalamikia kuwa mmenipa ushauri wa kipuuzi baada ya kuachwa na shemeji/wifi yenu eti kwa sababu nimemchapa kibao baada ya kunitibua.

Aliondoka na akasema harud tena, nilikuja hapa jamvini kuwalalamikia na ktk bandiko hilo kuna walionipa ushauri wakisema nimkazie, nisimtafute atarudi mwenyewe..

Niliamua kuufuata ushauri huo nilikaa kimya bila kumtafuta wala kuonesha kwamba ninajutia kwa kitendo nilicho fanya.

Jana amenitumia sms yey mwenyewe akiniomba msamaha na akasema hatarudia tena kwani amesha jua mimi ni mkali na sipendi utoto...

Ahsanteni wana MMU kumbe wanawake sometimes wanahitaji kubustiwa kidogo ili akili ikae sawa
 
Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,503

Mura tata mbuya!! Hivi unafikiri kwa nini a kina Mura wake zao heshima mbele!! hawataki ujinga!! eti mwanamke hupigwa kwa khanga !! khaa!! kalaghabaho!!
 
Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
5,564
2,000
Moja ya sheria zangu ni kuwa; Uliingia mara moja utatoka mara moja. Ukiondoka umeondoka waachie wengine. Na hii mwanamke anaambiwa tokea siku ya kwanza akishakubaliana na mimi kwenye mapenzi
 
Pablo

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,449
2,000
Wakuu habari ya January

mtakumbuka siku chache zilizo pita nilikuja hapa kuwalalamikia kuwa mmenipa ushauri wa kipuuzi baada ya kuachwa na shemeji/wifi yenu eti kwa sababu nimemchapa kibao baada ya kunitibua.

Aliondoka na akasema harud tena, nilikuja hapa jamvini kuwalalamikia na ktk bandiko hilo kuna walionipa ushauri wakisema nimkazie, nisimtafute atarudi mwenyewe..

Niliamua kuufuata ushauri huo nilikaa kimya bila kumtafuta wala kuonesha kwamba ninajutia kwa kitendo nilicho fanya.

Jana amenitumia sms yey mwenyewe akiniomba msamaha na akasema hatarudia tena kwani amesha jua mimi ni mkali na sipendi utoto...

Ahsanteni wana MMU kumbe wanawake sometimes wanahitaji kubustiwa kidogo ili akili ikae sawa
Hana pakushikia huyo. Ndo mana karudisha makalio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
33,570
2,000
Yeah siku zote mikazo ndio dawa yao, unamzabua halafu unampotezea hadi aseme samahani. Asiposema ujue hakupendi, huyo amejutia kosa lake tayari.
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,125
2,000
Sasa kilichobaki nenda kajifunze kung fu kabisa ili safari hii usiishie kwenye kibao.

On a side note ngoja nikwambie kitu..

Katika uhusiano bila hata kutamkiana mwanaume hua yupo juu kimamlaka kuliko mwanamke, hii huja naturally. Kugombana hutokea pale mwanaume anapotaka ijulikane kwamba yeye yupo juu kimamlaka.

Kwa mfano; kibao ulichompiga na akaamua kurudi kimeshawaweka kwenye nafasi Tashwishwu ni kichwa although mwanzo ilikua ni naturally perceived kwamba Tashwishwi ndiyo kichwa.

Kifuatacho ni kwamba Tashwishi utalewa nafasi yako kama kichwa, kibao kimoja ulichompiga kimekufungulia njia kwenye kutumia vibao, ngumi, mateke, kumkimbiza akiwa uchi n.k. am simply saying unaupeleka uhusiano wako kwenye abusive relationship.

Kama utakua manipulator mzuri hatokuacha, hata umpigeje, ataondoka kama hivi after few days she gon come back wakati wewe bado ni yuleyule, mzee wa ngumi mkononi.

Ngumi, vibao siyo jibu katika mahusiano. Na hii ni kwa wote, maana kuna wanawake wana mikono miepesi pia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom