Huyu mwanamke sina hisia nae kabisaa japo ananipenda sana

genau

Member
Jan 11, 2018
36
54
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.

Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.

Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.

Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.

Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili
 
Kilichokufanya kuanzisha mahusiano nae siku ya kwanza kabisa ilihali humpendi ilikua ni nini? Au ni utajiri wake? Mimi huwa naangalia roho ya mtu sana kuliko vingine vyote hayo mambo ya uzuri ni ya dunia tu
 
Habari wakuu,nimekuwa kwenye haya mahusiano kwa Muda WA miezi minne SASA na huyu mwanamke was kizungu ambaye yulikutana huko ughaibuni na baadae kuja nae nyumbani Tanzania.

Kinachinifanya nisipate hisia nae hasa zaidi no umbo lake nene (bonge). Japo nimejaribu Sana kujilazimisha kunipenda bila mafanikio yeyote.

Kinachonifanya niogope kumwambia hisia zangu juu yake,ni jinsi alivyojitoa kwa ajili yangu, Kwanza kabisaa kunifata Africa na kutumia muda wake kwa ajili yangu.

Kinachoniumiza zaidi ni pale ninapokosa kabisaa hisia nae hasa wakati was kufanya tendo takatifu la ndoa, pia huwa anatamani nimbusu kila mara tukiwa pamoja,ila huwa mara nyingi namkatalia kwa sababu naona kero Sana.

Naombeni msaada wenu was haraka Wana jukwaaa juu ya hili
Hebu tuambie ukweli. Kama unataka kufanya nae tendo ”takatifu la ndoa" inamaanisha huyo ni mkeo. Vinginevyo sema unataka kuzini naye. Kama ni mkeo ni wazi ulimpenda jinsi alivyo. Lakini kama si mkeo basi endelea kujilazimisha hivyo hivyo.
 
wewe unatatizo la kufanya vitu kwa kukurupuka, kwa kifupi hauna umakini na ndio unaleta mada ya mapenzi kwenye siasa, ila nahisi hii mada ni ya kutunga.
 
SASA kama huna hisia naye si umuache ampate mwenye hisia na yeye....kumbuka kuna karma itakutafuna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom