Swali kwa wanaume wa jf

Hakuna mwanamke asiyependa kutongozwa na hakuna mwanaume asiyependa kutongoza.

Mwanamke anajiona mkamilifu yaani mzuri pale anapotongozwa, na mwanaume anajiona rijali kutongoza.

Mwanamke akisema anachukia kutongozwa, basi ujue ama hatongozwi maana hana mvuto au anatangaza kwamba anatongozwa ili watu wajue kuwa anatongozwa na kwa maana hiyo yeye ni mzuri.

Wanawake ni ngumu kuelewana na mwanaume maana kwanza mliumbwa wakati wanaume tukiwa usingizini
 
Siyo Jf tu ata mtaani, kanisani, shuleni, na mitandaoni ilo ni jambo la kawaida kumbuka hatuishi pamoja na kila mmoja ana mtazamo wake kwa kila jambo mwingine anaweza tumia advantage ya tatizo lako kukupata au kukutongoza ni akili yako kufanya kzi vizuri kiutambuzi usije laumu wanaume maana ata wanawake wakiona mwanaume anapesa kila mmoja anataka kujiweka kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom