Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za weekend tulivu wapendwa. Naitwa Kasie Mahaba kwa wale wasionitambua aka K’ moja Matata..... Mwaka ndo ushaanza nimerejea kazini vivo hivyo Dadii. Malengo ni kusaka shekeli ili mwisho...
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Wazee wanzangu, nimekuja jiji la Mwanza kwa mwezi mmoja sasa. Kola ninaporudi hoteli niliyofikia nahisi kama mashuka yamemwagiwa maji. Mwanza pamegeuka Makambako. Kwa wale wavuta bange hali...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi na hubby tulikuwa wanywaji enzi hizo, dinner na wine au yeye akiangalia mpira na bia mbili tatu. Tulipoanza familia yale mambo ya kuamka usiku kuhudumia watoto tuliona pombe haina nafasi...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Nahitaji girl friend, badae aje kuwa mke, Sifa zangu 1.Handsome 2. Pombe kama kawaida ila kwa weekend 3. Sigara hapana 4.Dini Mkristo 5.Mtanashati Nimtakaye 1.Mrembo 2. Awe romantic (sitaki...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mke anamdharau mumewe na anakuwa na mamlaka ndani ya nyumba. Mume kawa kama zezeta, hajali ndugu zake! Tumegundua kamuendea kwa mganga na kuroga ili awe na mamlaka juu ya mumewe na mali zake...
0 Reactions
87 Replies
18K Views
Habari za muda huu wanajamvi. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 07 September 2014, ilizinduliwa filamu kali kabisa kuwahi kushika hisia za watu wengi duniani iliyokwenda kwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hey, Natafuta mdada mzuri yaani sura na tabia mwenye sifa za kuwa mke mwaka huu huu wa 2019. SIFA ZAKE Umri usizidi miaka 30, Mkristo, Awe mrefu kiasi, Maji ya kunde/mweupe, Ameajiriwa au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Why men shouldn't marry women over 30 Firstly women over-30 have a lower fertility. If you want to build a family with these old donkeys be prepared to possibly have a downs syndrome child...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Kwa vile siku hizi hawa dada zetu wanao jiuza wamekuja na mpya ya kutaka wapewe chao kwanza then ndio watoe uroda,basi kuna style mpya ya kuwatapeli imeingia,cha kufanya ni unaweka pesa kwenye...
7 Reactions
76 Replies
38K Views
Habari za J2 wakuu, Leo nimeona niulize tu maana mimi nimeshindwa kupata majibu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza, nina mwenza ambaye ni wa muda sasa hua tukimisiana anakuja nitembelea...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Mwanaume Wa kwanza Anakucheat Unamtema Wa Pili Anakucheat Unamtema Wa Tatu Anakucheat Unamtema Wa Nne pia Anakucheat Unamtema pia Ile unashtuka Umeshakuwa MALAYA [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Dear Friends, Wanaume hasa waliokwenye ndoa ukweli wao ndio huu hapa kuhusu wake zao. 1.Mazoea Akishakuzoea akakujua vizuri humuumizi kichwa huwa anakuumiza kichwa. Unakuta mara nyingi ukimwambia...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Huwa unajiskiaje pale uko na babe pembeni wakati wa safari ya ndege. Yaani ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege? 1. Pale...
6 Reactions
127 Replies
12K Views
Habari za wakati huu wanajukwaa. Kwa yaliyonitokea week end hii yamenipa maswali sana. Hivi wivu wa mapenzi hua unasababishwa na nini? Ukiwa na mume au mke akichepuka wewe roho inakuuma kwa...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
"Nimetembea na Mabilionea kadhaa lakini Bado sijawa Bilionea...Utajiri hauhamishwi kwa njia ya Ngono, Zaidi unakuwa Mtumwa na kutumika kwa kiungo chako wewe mwenyewe kila siku na siku zote...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni dhahiri ugumu wa maisha umeongeza ubunifu na kimfaacho mtu ni chake! Nimeshuhudia wadada fulani waajiriwa kabisa japo sisemi ni serikalini ama binafsi ila ni hii fani ya wal...u wakijiuza...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk. Juzi amekuja mjini hapa kwa shughuli za...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Umeshawahi kujiuliza hili? Ukiwa huna pesa umepigika hakuna hata mtu anayekusogelea, hata walio mbali hawakupigii. Hata ndugu zako wanakuwa kimya, japo kwa kuwa uko mbali nao hujawaambia kama uko...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Imetokea mara mbili katika maisha yangu kuwa na wapenzi wa aina ambayo nitaelezea hapa chini. Kwa kuwa mimi ni mwanaume ni uzoefu na wapenzi wa jinsi ya kike. Inawezekana kabisa hata wanaume kuna...
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…