Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Kuna dada tulielewana sana tukiwa chuo, alikuwa yule wa kazi na bata pamoja. Baada ya shule tuliendelea kuwasiliana. Kubadilisha na picha za matukio nk.
Juzi amekuja mjini hapa kwa shughuli za familia. Tulipanga lazima tuonane. Baada ya kazi nilimtext hubby kwanza nikamueleza kuwa shost yuko mjini na tuta chill kidogo kabla kurudi nyumbani. Alisema poa.
Tulikutana na shost, nyama na drinks tuliagana. Nimerudi home hubby anauliza shost wa kike au wa kiume? Khaa nilianza kumfahamisha, hapo hawajainana lakini wanajuana.
Nilimuomba huruma, kumbe muda wote alikuwa anaumia!