Suleiman755
JF-Expert Member
- Apr 1, 2018
- 274
- 209
Ni dhahiri ugumu wa maisha umeongeza ubunifu na kimfaacho mtu ni chake!
Nimeshuhudia wadada fulani waajiriwa kabisa japo sisemi ni serikalini ama binafsi ila ni hii fani ya wal...u wakijiuza kwenye kwa madereva malori wa mchanga kisa ni vijisenti wanavyohongwa!
Wengi wao wana ndoa zao kabisa sasa najiuliza je hawa na wale wanaojianika usiku nani malaya na nani changudoa tofauti yao ni nn?
Na ninashangaa jinsi watu walivyo na ustarrabu wa mshoni(wa mavazi) lakini ukiyajua matendo yao utashangaa. Hi dunia ina mambo!
Sent using Jamii Forums mobile app