Wapenzi wa aina hii ni pasua kichwa

Wapenzi wa aina hii ni pasua kichwa

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,218
Reaction score
5,495
Imetokea mara mbili katika maisha yangu kuwa na wapenzi wa aina ambayo nitaelezea hapa chini. Kwa kuwa mimi ni mwanaume ni uzoefu na wapenzi wa jinsi ya kike. Inawezekana kabisa hata wanaume kuna wenye tabia hii.

Naongelea watu ambao wanapenda lakini hawataki kuonyesha kama wanapenda. Wasichana wa aina hii ni wagumu sana kuanzisha uhusiano, hujaribu kuchunguza na mpaka wa jiaminishe kuwa wako kwenye mikono salama ndo wanaweza kuingia kwenye uhusiano. Moja ya vigezo ambavyo hutumia ni kumkataisha mtongozaji tamaa. Yaani atakuzingua kama hujapenda kweli ni lazima utaachia ngazi. Lakini ukiwa na moyo wa kufuatilia bila kukataa tamaa utamnasa.hata baada ya kumnasa, bado hawaonyeshi kama wame fall hata siku moja. Maneno kama dear, honey, sweetheart, baby n.k hawayatumii hata siku moja. Mara nyingi watatuma meseji za kukatisha tamaa, kuonyesha kwamba hawaja fall in love kivileee basi wanazuga. Kwa mfano Unaweza kumwandikia sms kama 'vipi sweetheart nimekumiss' akajibu 'nani sweetheart wako, umepotea njia au?' Lakini ukipitisha siku nzima hujamwandikia meseji, analalamika, inakuaje hujamwandikia meseji, pia ukiandika meseji ambazo hazina sweetheart and the like pia huoji inakuwaje meseji so dry. Hii inaonyesha wao wanapenda kupendwa na wanapenda lakini hawapendi kuonyesha kuwa wanapenda.

Msichana wa kwanza wa hivi niliachana naye, niliamua kumuacha baada ya kuhisi ananizingua na kunipotezea muda. Kumbe alikuwa ananipenda sana. Baada ya kumtamkia kuwa mimi nafikiria kuachia ngazi akaniambia umechelewa. ungefanya hivyo toka juzi. Ndo ikawa mwisho. Lakini feedback nilizopata kutoka kwa rafiki zake ni kuwa at first hakuwa anaamini kama kweli na muacha. Alichukulia kama utani...kadri ziku zilivyosonga mbele na kugundua kuwa nilikuwa serious alianza kuhaha akiahidi kuwa angejirekebisha eti huwa anatania tu. Lakini it was too late.

Baadae nd nilikuja kugundua kuwa kweli moyoni alikuwa ananipenda ingawa hakuonyesha. Baadae nilikuja kupata masichana mwingine wa hivyo. Kwa sababu bilisha wajulia tabia zao, hawakunisumbua. Ingawa nilikuwa na miss lugha nzuri za kimahaba kutoka kwa mtu umpendaye, mapenzi yalikuwa hayana bashasha na hivyo kujikuta niki pullout slowly. Wapenzi wa namna hii ni Shida. Wengi wao hawaolewi kwa sababu ya tabia zao za kumisuse wanaume.
 
  • Thanks
Reactions: GKM
oooohooo hiyo sentenc ya mwisho umenikata stimu

Duuu....ila ...../.......wacha nikae kmy
 
Mmmh hao kwel pasua kichwa nlimeet na mmoja ful kupgana daily then nkitaka kupga chin ananza kunbembelza oooh bado nakupenda sana
 
..
..THIS IS 100% true...but the easy way kumfanya mwanamke asikusumbue sumbue...A MAN MUST EAT HER PAPUCHI KISAWA SAWA na kisasa kabisa...I mean
mle mzima mzima KISAMAKI SAMAKI usimbakize....UTASHANGAAA HESHIMA ATAKAYOKUPA...na usiwe kila mara una wasiliana nae..I mean kila dak 10 unamjulia hali ATAKUCHOKA.....
 
Ni kweli wanawake wa namna hiyo wapo wengi na ni wasumbufu sana. Wao huwa hawapendi kuitikia hisia za wapenzi wao positively. Na hata kama ukifanikiwa kuwapata huwa hawana mapya sana kwenye mapenzi.

Katika utafiti wangu wengi wa wanawake wa namna hiyo kuna vitu ambavyo vinawafanya waww hivyo.

Vinaweza kuwa ni uzuri au maadili. Ukikuta msichana wa namna hiyo ni mzuri na watu wengi wanamhitaji basi atakuwa anapenda kufanya anavyojisikia bila kujali vitu hivyo vina athari gani katika mapenzi. Mara nyingi ni watu ambao wanaweza kuvunja promise bila kutoa sababu zinazoingia akilini. Ni kama wao wanalazimishwa kuendelea na mapenzi huku hawataki kumbe wanataka.

Au kama ukimkuta anaringia kwamba yeye kwao wamelelewa kwenye maadili basi atakusumbua ili umuone yeye hayajui mambo hayo na hana imani na wanaume kabisa kwa maana ya utapeli.

Kwa kuwa wanawake wa namna hiyo wapo wengi nini cha kufanya sasa.

Uzoefu unaonenya wanawake wa aina hii hawajui mapenzi kwa sababu si watu wa kujituma na ni wepesi wa kuumiza wanaume.

Sasa unashauriwa ukiwa na mwanamke wa aina hiyo uwe makini sana na kumpa fedha au vitu. Usijikite katika kutoa kutoa tu maana kwake si kigezo cha kukupa kile unachokitaka. Ni vema ukawa unatoa vitu ambavyo hata mahusiano yakikoma haviwezi kukuumiza kwa sababu ni vitu au fedha kidogo katika pato lako.

Pia wanawake wa aina hii unashauriwa kuwaambia matatizo yao hasa kujifanya kuwa hana hisia maana kunakufanya wewe usijue una mtu anayekupenda au laaha na hivyo kushindwa kuji commit kwa mambo mazito.

Mwisho endapo ukifanikiwa ukapata tunda basi inabidi mwanaume uonyeshe uwezo wako kwamba unajua mapenzi kwa maana ufanye uwezalo uhakikishe huyo demu kafika kileleni ili kusiwe na gap sehemu yoyote ile. Kifupi wanawake wa namna hii wanahitaji wao wakutafute kwa sababu ya aidha utaalamu wako kutandani, lugha nzuri ukarimu au kuhudumia japokuwa kuhudumia siyo njia nzuri sana maana hawaaminiki.

Huo uchambuzi ni kwa mujibu wa uzoefu wangu, nipo tayari kusahihishwa kwa hoja.
 
Raha yake nini?

it gives me the impression that she is truly desirable. she wouldn’t just date any guy. it tests my ability to invest in resources (money, time, effort), my motivation, and the nature of my fidelity.
 
it gives me the impression that she is truly desirable. she wouldn't just date any guy. it tests my ability to invest in resources (money, time, effort), my motivation, and the nature of my fidelity.
Kwa taarifa yako, ukitongoza demu akawa anakuzungusha, hakubali wala hakatai , ujue yuko na mtu at that time ila hajaridhika naye au kuna mambo hayajakaa sawa kuhusu huyo mtu; so anakuweka wewe standby incase things will not work out kwa huyo jamaa yake anakukubalia; so anakuchyukulia kama backup tu;halafu wewe unajiona umesomeshaaa kumbe uliwekwa kama plan B.

Kimsingi msichana anayekupenda ukimtongoza haichukui round kuingia kweye mapenzi. Anaweza asikupe papuchi mara moja, lakini she will be in love.
 
Back
Top Bottom