Ukitaka kujua mme wako anachepuka

Ukitaka kujua mme wako anachepuka

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Dear Friends,
Wanaume hasa waliokwenye ndoa ukweli wao ndio huu hapa kuhusu wake zao.
1.Mazoea
Akishakuzoea akakujua vizuri humuumizi kichwa huwa anakuumiza kichwa.
Unakuta mara nyingi ukimwambia vitu kama matumizi ya nyumba yeye hufoka na kuwa mkali.
Ila akiwa nikwajirani yake au watu wengine huwa anajitolea kabisa tena kwa moyo.
Lazima vitu vingine viwe ningumu kufanya ukimwomba awapeleke watoto sehemu ananuna hujawahi kuona kwenye gari mwanaume kanuna kisa uko naye kwenye gari.
Hana raha ilaakiwa nawasichana anaraha.
Akipigiwa simu anagomba sana.
Hapo kashakuzoea.
2.Kupotezea
Anakuwa anachelewa kurudi mara ingine kalewa ukimfuata pole mume wangu kimya naukimfuata anadai kachoka hapo niamekupotezea kabisa mara ingine hudai anataka kulala au anakazii.
Dah hii ni kali sana .
Kwa sababu anaweka distance.
Kuna siku mpaka harudi home anapiga kusema sintarudi nimepata dharura.
3.Huwa anaona kero kuja home.
Anaona nikazi kukaa na familia huwa anakaa kidogo anatoka halafu hujifanya yukobusy.
4.Anakuwa busy na simu utazani customer care
Zamani hakuwa hivyo ila imezidi kuchart haachi hata taarifa haangali hujifanya anajua kila kitu anaenda nawakati anapendeza kushinda zamani napia anakuwa anapenda kukuita maneno geni ya ajabu nayanayoumiza .
Anapenda kuleta ugomvi
Huwaa anapenda kulet ugomvi usio anakichwa na miguu hupenda kuondoka baada ya huo ugomvi eti siwezani nastress anaenda kwa huyo mwanamke.
Unaweza hata ukagundua ni rafiki yako kipenziii.
Ujue marafiki sio wazuri.
Wao hawajabarikiwa kama wewe.
Wanataka mema yako wayaonjee.
5. Anavisa visivyo vya msingii.
Mara sipendi unavyopika sipendi unavyochelewa home pyhum yako mbaya .
Mara nywele zako hazikupendeziii night dress yako imekaaje mbona ukiivaa unaonekana wazamani i mean mzee yaani ili mradi usiwe na rahatu.
Kuna mengi jamani wanafanya hata mkitoka mahali anakuabisha tu umevaaje au ulikuwa wapi nyumbani fanya haraka basii.
Mbele za watu anakufanyia madharau.
Hapo jua anapata mazuri na mazuri new things and his handle with new format of love.
Kadataa.
So chakufanya
Waite wazee uwaambie or maombi sure.
Ila huwa inauma sana kama mtu hukutendea hivyoo.
Mwenzio yule wa mazima hadi mufwe.
Kazi ipoooo.
Hadi inakuja siku hatoi hela ya chochotekwa ajili ya watoto wake.
 
Lakini hizo sio uthibitisho rasmi kwamba anachepuka
 
Mna kazi ngumu sana wanawake mwanaume huhitaji kumfuatilia wewe Fanya tu unayopaswa wala usisumbuke kumuuliza kama anachepuka . mwache ila ajue tu kuwa unajua anachepuka

Yaani atajiona mjinga tu na ataacha na kuja kukuomba msamaha lkn ukijifanya mfutiliaji ndo unamchochea kbs
 
Kila kitu huwa kinakinaisha. Na hakuna binadamu ambaye mawazo yake hayabadiliki. Ndio maana huwa sielewi ile kitu hadi kifo sijui nn... Sometimes kama binadamu kamili unahitaji space na kuexplore new things bana.
 
Ni kweli kila kitu kinakinaisha mf.
Kama ni nyie mnakinaisha sana wanawake kila kitu niwao tu kila kitu watoto bado nyie bado hivi vile hii nikali.
Ila bado wanawavumilia ila nyie hamvumiliki .
So usijione kuwa ni nyie mnakerwa na na wanawake zao.
 
Mara utasikia mdomo unatoa harufu
Mara wanuka leo hujaoga
Ukiona hivyo ujue kashakamatwa nje ya nyumba
 
Dear Friends,
Wanaume hasa waliokwenye ndoa ukweli wao ndio huu hapa kuhusu wake zao.
1.Mazoea
Akishakuzoea akakujua vizuri humuumizi kichwa huwa anakuumiza kichwa.
Unakuta mara nyingi ukimwambia vitu kama matumizi ya nyumba yeye hufoka na kuwa mkali.
Ila akiwa nikwajirani yake au watu wengine huwa anajitolea kabisa tena kwa moyo.
Lazima vitu vingine viwe ningumu kufanya ukimwomba awapeleke watoto sehemu ananuna hujawahi kuona kwenye gari mwanaume kanuna kisa uko naye kwenye gari.
Hana raha ilaakiwa nawasichana anaraha.
Akipigiwa simu anagomba sana.
Hapo kashakuzoea.
2.Kupotezea
Anakuwa anachelewa kurudi mara ingine kalewa ukimfuata pole mume wangu kimya naukimfuata anadai kachoka hapo niamekupotezea kabisa mara ingine hudai anataka kulala au anakazii.
Dah hii ni kali sana .
Kwa sababu anaweka distance.
Kuna siku mpaka harudi home anapiga kusema sintarudi nimepata dharura.
3.Huwa anaona kero kuja home.
Anaona nikazi kukaa na familia huwa anakaa kidogo anatoka halafu hujifanya yukobusy.
4.Anakuwa busy na simu utazani customer care
Zamani hakuwa hivyo ila imezidi kuchart haachi hata taarifa haangali hujifanya anajua kila kitu anaenda nawakati anapendeza kushinda zamani napia anakuwa anapenda kukuita maneno geni ya ajabu nayanayoumiza .
Anapenda kuleta ugomvi
Huwaa anapenda kulet ugomvi usio anakichwa na miguu hupenda kuondoka baada ya huo ugomvi eti siwezani nastress anaenda kwa huyo mwanamke.
Unaweza hata ukagundua ni rafiki yako kipenziii.
Ujue marafiki sio wazuri.
Wao hawajabarikiwa kama wewe.
Wanataka mema yako wayaonjee.
5. Anavisa visivyo vya msingii.
Mara sipendi unavyopika sipendi unavyochelewa home pyhum yako mbaya .
Mara nywele zako hazikupendeziii night dress yako imekaaje mbona ukiivaa unaonekana wazamani i mean mzee yaani ili mradi usiwe na rahatu.
Kuna mengi jamani wanafanya hata mkitoka mahali anakuabisha tu umevaaje au ulikuwa wapi nyumbani fanya haraka basii.
Mbele za watu anakufanyia madharau.
Hapo jua anapata mazuri na mazuri new things and his handle with new format of love.
Kadataa.
So chakufanya
Waite wazee uwaambie or maombi sure.
Ila huwa inauma sana kama mtu hukutendea hivyoo.
Mwenzio yule wa mazima hadi mufwe.
Kazi ipoooo.
Hadi inakuja siku hatoi hela ya chochotekwa ajili ya watoto wake.
Dah....umelewa?[emoji15]
 
Back
Top Bottom