Staili mpya ya kuwatapeli wanawake wanao jiuza imeingia tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Staili mpya ya kuwatapeli wanawake wanao jiuza imeingia tanzania.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Jul 15, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kwa vile siku hizi hawa dada zetu wanao jiuza wamekuja na mpya ya kutaka wapewe chao kwanza then ndio watoe uroda,basi kuna style mpya ya kuwatapeli imeingia,cha kufanya ni unaweka pesa kwenye M-pesa au tigo-pesa,alafu unajifanya kumtumia kwenye number yake,ikiisha ingia kwenye cmu yake,bac we unazuga kama unaenda chooni afu unapga number ya huduma kwa wateja ya mtandao husika ambayo utakua umeutumia na kuwaambia kwamba umetuma pesa kimakosa kwenda kwenye number hiyo kwa hyo wairudishe kwako.ile pesa itarudi,then wewe utagonga ngozi ya bure,ukimaliza unasepa zako!
   
 2. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Lakini kwa nini umdhulumu na hali unajua anatafuta kipato?..
  Fikria na wewe mfano umelipia na wakat unataka 'kuplllliiiiiz'..akomae na kichwa!!!
  Kama tumeamua kuenjoy huduma yao tuwalipe tu!!!
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,681
  Likes Received: 950
  Trophy Points: 280
  Wakware mna mambo nyie.....................
   
 4. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,175
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  We utakua ni mdau!
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Dawa ni kuyatoroka tu baada ya kugonga! Process zote hizo za nn?
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  siku hzi wamekuja na huduma yao wanaita pre-paid service,unalipa kwanza then ndo unahudumiwa,me jana nimegonga mmoja bure kwa style hiyo.
   
 7. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mungu wako ni shetani kwangu
   
 8. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Penda vya bure eeeh, angalia usije ukalipia na UKIMWI..............www
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  sio mpya,ya siku nyingi
   
 10. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kazi kweli kweli,je huo nao ni ubunifu?
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,284
  Likes Received: 799
  Trophy Points: 280
  hivi kweli unathubutu kumuibia mwanamke anaye uza mwili wake?
   
 12. MTOTO YATIMA

  MTOTO YATIMA Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  kweli wabongo nouma ebu fikirien basi na namna ya kutoa ile gesi baarin tuzalishe umeme
   
 13. mtanzania in exile

  mtanzania in exile Senior Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 190
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Makubwa, mtu anajibebea changu doa halafu anakuja hapa kujisifia?
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Sikubaliani na hii njia dhalimu.Huo sio ujanja ni ujinga.Lazima na wewe utapata pigo kwa njia yoyote ile
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,994
  Likes Received: 8,442
  Trophy Points: 280
  Kwanini ule bure?
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,782
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  buni kuiibia serikali,hao wamama dont deserve that....
   
 17. salito

  salito JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,097
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hapa acha tu nikae kimya..nijionee...
   
 18. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 10,739
  Likes Received: 1,846
  Trophy Points: 280
  Bro kama hali ngumu si ungekopa kredo ulipe baadaye.
   
 19. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Lakin kumbuka kuwa "MLA, HULIWA", leo umemfanyia yeye, kesho utafanyiwa wewe au dadayako...
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,260
  Likes Received: 4,244
  Trophy Points: 280
  job true true
   
Loading...