Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Usiseme nikioa ntaachana vimada,kamwee unajidanganya.kama una madem watano na bado unawatamani wengine hivi ukiwa na mwanamke mmoja atakutosha kweli? Hapo unajidanganya sana kaka mkubwa kama...
17 Reactions
103 Replies
8K Views
Wanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana? Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia? Mnaboa kishenzi, Km vipi jibadilisheni muanze...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
SIBISHI TENA! ZAMANI nilikuwa mbishi, ila sasa nasadiki. Ubishi tena sitaki. Wapendanao wakiishi muda mrefu huanza kufanana. Namuona bosi kubwa wa IPP, The Don Reggie na Da Jackie sasa hivi...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeanini kumbe Mapenzi yana nguvu ya ajabu sana "Mapenzi yana uchawi ndani yake" Baada ya kuwa na Mpenzi mmoja kwa muda mrefu alikua ana nyodo sana akiamini ameniteka mateka na ananipelekesha...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Dadii this is for you...... Only I want is you....you are my everything, that’s all I need. Let’s dance the Nigerian dance, shaking the shoulders.... My love to this man called Dadii is...
7 Reactions
141 Replies
9K Views
Huyu mtu aliibuka na mada hapa na kuwatuhumu Daktari pamoja na mchungaji kumsingizia ukimwi, kumbe ni muongo na alishaoa. Mada zinaonyesha ni mhuni na mtu wa kusingizia huyo anajiita MAGALLAH R...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mu wazima nyote? Niende straight to point: Awe na miaka kuanzia 18-25, sitojali dini,rangi wala kabila. NB: Nataka wa kuzaa nae tu sina time na kuoa. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Valentine ! kila saa valentine! inamana hamna vitu vingine vya maana vya kuzungumzia mwezi huu zaidi ya huo upumbavu wenu wa valentine? mnachochea mapenzi tu ambayo kibongobono hatuna. yani kama...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Inasemekana mapenzi yapo Tanga. Kigogo mmoja marehemu (R.I.P) alinihadithia "Jamaa mmoja alienda Tanga kikazi kama mwalimu,akapanga chumba,akaelewana na mzee mwenye nyumba, jamaa kama ticha...
6 Reactions
135 Replies
55K Views
Kwa kweli inasikitisha kuona wanaume wa Dar wamewashindwa hawa walimbwende, maana ni warembo wanapitia mambo mazito ya kupigania maslahi ya watu. Kwakweli naomba muwasaidie kupunguza frastesheni...
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Shikamooni Mbagala na nimewapendeni bure kwani mmetujengea Nyumba za Kulala Wageni ( Guest House / Lodge ) kiasi kwamba hata mwenye Mke au Demu mpaka akija ' Kuwafumania ' huko basi kafanya Kazi...
-1 Reactions
16 Replies
7K Views
Salaam wakuu.. Toka mwaka uanze sijadondosha thread hapa, naomba ruhusa yenu nitiririke kidogo. Na hii naomba akina dada mchangie kwa sana ili nipate kujua ugonjwa wenu unasababishwa na nini...
7 Reactions
182 Replies
10K Views
Simulizi za kusisimua & mapenzi Simulizi za kusisimua & mapenzi SIMULIZI; CHUMBA NO 18 MTUNZI; Pascal Pahali Email;pascalpahali@rocketmail.com Contact;+255655-123 103 WhatsApp;+255655-123 103...
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Mababu na mababa zetu miaka hiyoo waliweza kuoana hata kabla ya kukutana kimwili yani mtu anakua na mchunba mpaka wanafunga ndoa hawajawahi kulana uroda na mara nyingi ilikua wasichana wanakutwa...
1 Reactions
78 Replies
5K Views
Nini siri ya huu uzwazwa, kuna uhusiano gani kwa mwanaume kupenda na kuvutiwa na kitu ambacho hukitumii. Kuvutiwa na makalio makubwa ya mwanamke alafu uwapo faragha wala habari nayo huna...
8 Reactions
180 Replies
27K Views
‭ Wanaume twende sawa tena kwa umakini sana. Unakutana na demu somewhere unaomba namba sababu amekuvutia/umemtamani utaanza mawasiliano nae na hapa utamtafuta sna pamoja na kumpigia kwa sana tuna...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Majuzi jamaa angu ambae ni my frnd tangu o level alienda kumtembelea mpenzi wake dom mpenzi wake anasoma chuo uko dom lakin kabla ya kwenda alikua ananiambia uyo mpenzi wake anataka yaan jamaa...
15 Reactions
488 Replies
77K Views
Ndugu habari zenu,leo nakuja na uzi special kwa ajil ya kuendelea kujenga mahusiano hivi ni sawa kumwonesha mpenzi wako kama really unampenda?? na kama ulishawai mwonesha kilitokea nini?? Majibu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
habari wa JF, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si...
12 Reactions
362 Replies
24K Views
Kwa hakika nimekuwa nikiona kiuno feni kwenye baikoko video; ila sikuwahi kutana nayo live live kwenye mechi zangu; wadau hizi mambo zipo kwenye baikoko tu au mpaka tupate wadada wa tanga??? Huu...
2 Reactions
79 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…