Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?


Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
2,507
Likes
1,870
Points
280
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
2,507 1,870 280
habari wa JF,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.

Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.

Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..

Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
2,507
Likes
1,870
Points
280
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
2,507 1,870 280
Mkuu embu jenga urafk nae kwanza ili umuweke kwenye comfortable zone then baada ya hapo utajua nn ufanye maana unaweza mtongza ukakosa mteja anaekupa commision ya mwenz
kingine nahofu ya kumwomba no, nahisi kwamba ataaniuliza nataka ya nini..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
3,461
Likes
5,091
Points
280
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
3,461 5,091 280
nitalia mno, ngoja kesho akija nijifanye kama najikuna kumuongelesha kuhusu haya mambozi!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu amini nakuambia wanawake wanapenda kutongozwa sababu ndio kipimo cha thamani yao, wasipotongozwa wanaenda hadi kwa waganga, akiwa mgumu usimlazimishe ili urafiki wenu uendelee.

"Huwezi kujua kama inawezekana mpaka utakapojaribu" acha uoga
 

Forum statistics

Threads 1,273,483
Members 490,428
Posts 30,482,924