Ulishawahi mwonesha mpenzi wako unampenda??

Ulishawahi mwonesha mpenzi wako unampenda??

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Ndugu habari zenu,leo nakuja na uzi special kwa ajil ya kuendelea kujenga mahusiano hivi ni sawa kumwonesha mpenzi wako kama really unampenda?? na kama ulishawai mwonesha kilitokea nini??
Majibu Tafadhali.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Matokeo yake kila tukizunguana anasema simpendi
 
Back
Top Bottom