Kwa nini huwa naona MMU kumejaa wakina mama na sio mabinti?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,581
15,350
Wakuu tangu nijue MMU najilazimisha kuona kama humu pia kuna mabinti lkn wapi?

Wengi miandiko yao kama wamama waliokomaa. Ukimfuatilia utakuta anajua mambo hadi ya siasa, mara Lissu mara 1.5 tril wakati huku mtaani huwezi kuona wasichana au wadada wanambo hayo. Hayo ni Kwa wakinamama zaidi.

Mnisaidie kubadil hii mindset,
 
Huo ndio ukweli mabinti wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom