Ushauri please

flulanga

JF-Expert Member
Jul 1, 2016
4,861
6,343
Nina mwanamke ambaye tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka 5 nasasa tunamtoto mmoja na anamimba ingine nandio nimeanza kuishi nae hivi karibuni mwaka huu huu January. Sasa nimegundua nimshirikina mbwa yaani nishiriki mbwa naposema nimshirikina jamani mnielewe kuwa nimshirikina balaaa nimegundua baada yakuanza kuishi nae. Katika makuzi yangu sikuwahi kuwaza hayo mambo kabisa nawala sijawahi kuomba nipate mwanamke mwenye imani hizo.

NB: nimejaribu mara kadhaa kumkanya ila yeye ndio amekuwa akinishangaa mimi, yaani ananiona kama mshamba flani hivi. Yaani nimeona uwezekano wayeye kubadili mwenendo naona hawezi kubadilika kabisa.

Sasa jamani huyu mwanamke namuachaje natayari mda sio mrefu atakuwa nawatoto wawili namimi? Naameshaniambia kumuacha haiwezekani labda yeye ndio aamue. Naombeni ushauri jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana na makinika hapo kwenye kumuacha kwakuwa kama ukifanikiwa (am not sure kama utaweza) basi utaharibikiwa mazima cause you never know keshakutengeneza kiasi gani

Jr
 
SALI KWANZA NA UTUBU DHAMBI YA UZINZI KUZAA BILA NDOA NA UNAKWENDA MTOTO WA PILI....

KWA SALA NA MAOMBI NA KUPIGA POWER HAPO HOME MBONA ATAKIMBIA MWENYEWE AMA KUGEUKA NA KUWA BINADAMU MPYA.....
 
Nina mwanamke ambaye tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka 5 nasasa tunamtoto mmoja na anamimba ingine nandio nimeanza kuishi nae hivi karibuni mwaka huu huu January. Sasa nimegundua nimshirikina mbwa yaani nishiriki mbwa naposema nimshirikina jamani mnielewe kuwa nimshirikina balaaa nimegundua baada yakuanza kuishi nae. Katika makuzi yangu sikuwahi kuwaza hayo mambo kabisa nawala sijawahi kuomba nipate mwanamke mwenye imani hizo.

NB: nimejaribu mara kadhaa kumkanya ila yeye ndio amekuwa akinishangaa mimi, yaani ananiona kama mshamba flani hivi. Yaani nimeona uwezekano wayeye kubadili mwenendo naona hawezi kubadilika kabisa.

Sasa jamani huyu mwanamke namuachaje natayari mda sio mrefu atakuwa nawatoto wawili namimi? Naameshaniambia kumuacha haiwezekani labda yeye ndio aamue. Naombeni ushauri jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza Kusali kuwa mlokole Mda wote maombi.... atakimbia mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteee, mbaya zaidi mama yake ndio mshirika mwenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee kazi kweli, ila hilo lisikusumbue kama upo na unamuamini Mungu haitakusumbua hata kidogo. Jikite kwenye maombi, kama ni mkristo sio mbaya kama ukajiunga na vikundi vya sala na muda mwingine mkawa mnafanya maombi hapo nyumbani kwenu trust me hayo mambo madogo tu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom