mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Jaman.
Hapa nimestaajabu kidogo.
Mwanamke amenifuma nikiwa na mwanamke mwingine live. Na nilikua natoka Kum mbato gest.
Daah.
Cha ajabu tangu siku hiyo hakuniuliza chochote , na ameongeza heshima Sana kwangu.
Je?
Kuna amani kweli hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app