Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama demu hujawahi mkaza hata mara moja usimtumie nauri ili aje. Nimepokea malalamiko toka kwa wadau kibao kuwa mademu wengi siku hizi wanaomba watumiwe nauri lakini wakishatumiwa hawafiki eneo la...
23 Reactions
346 Replies
23K Views
Juzi nilipata mtoto mle kwa daladala za kimara, Jana nimemtawanya na leo supu tu na huyu kinikia, Baada ya hapa ni copa cabana
2 Reactions
49 Replies
8K Views
Sifa zangu Miaka 29 Mwajiriwa na nimejiajiri pia Ni mweupe rangi Mrefu wa kati Nipo kanda ya ziwa Awe na sifa Miaka 20-30 Mwenye kazi au asiwe na kazi Sawa Kimo chochote Rangi yoyote Awe mwelewa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kwamba ' Jarida ' moja ya masuala ya Kisayansi linalojihusisha na mambo ya Kijinsia na Mahusiano limesema kwamba wale Wanaume wenye Maumbile makubwa ya Uume ( Miboo / Mikuyege mikubwa ) hufa...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu samahanini nimekutana na binti nipo safarini natoka dar naelekea mkoani nipo kwenye bus siti 1 na mrembo kanitajia location yake tanga anasema yeye mdigo.. Vipi wale wenyewe uzoefu na hawa...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Kuna Mtu kasema asilimia 70 ya wanaume wamepewa limbwata, akasema kama unabisha fanya uchunguzi, akasema 1.Tabia ya mwana mke kuingia ndani saa zaid ya nne usiku alafu mwanaume kashalala na...
8 Reactions
53 Replies
15K Views
Nimeamin mwanamke wa kuoa yafaa awe na tabia nzuri tu,hata sura isipovutia kivilee tutavumiliana tu....Ben ana sura nzuri kulko mkewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sent...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nanukuu-: "Mimi ni mama wa watoto watatu, nimelewa na ndoa yangu ina miaka kumi sasa, sababu ya kuja kuomba ushauri nikuwa, mwanzoni mume wangu alikua ni mtu wa kunywa pombe, si sana lakini mara...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Tuendelee sasa
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Nimepata namba ya dem mpya nitumie mbinu gani ili niweze kumpata maana hata nashindwa pa kuanzia na mtoto ana uelewa mkubwa sana na kazi yake! Nilikutana naye mara moja tu! Ila nataka mbinu za...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Pete ya ndoa ni sehemu kubwa katika ndoa KWA UFUPI Utafiti mpya juu ya maambukizi ya uganjwa huo umebaini kuwa, asilimia 47 ya watu walio katika mahusiano ya kimapenzi ambao mmoja anaishi na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana JF, Ninaomba mnisaidie nimejikuta siku hizi nimekuwa nina wivu sana juu ya mpenzi wangu na hata muda mwingine huwa nakuwa nawaza vibaya juu yake kama vile kuhisi ana mtu muda fulani...
1 Reactions
71 Replies
18K Views
10 Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?Maana kima chake chapita kima cha marijani. 11 Moyo wa mumewe humwamini,Wala hatakosa kupata mapato. 12 Humtendea mema wala si mabaya,Siku zote za maisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za mda huu wadau wa jf# namini mko poa . bilia ya kupoteza wakati acha niende ky mada moja kwa moja. Hakika katika hii dunia ya sayari ya tatu hakuna kitu kizuri kama kuwa na furaha maana...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Asee yaani social media imeleta mabadiliko makubwa saana katika maisha ya kila siku. Nimeamini kuwa wanawake wengi saana wanajiuza ila tatizo ilikuwa ni eneo la kujiuzia na muda. Sasa hv kupitia...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Waungwana wa MMU Najua jukwaa hili lina watu wa kila namna Sasa nimekuja kuwauliza madhara ya kiafya ya kutafuna Gomba a.k.a Mrungi/mirungi na kunusa Ugoro au kubwia Ugoro na kunywa pombe/wine...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakubwa.. Kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu. Leo baada ya kutoka kitandani mke wangu ameniomba kitu ambacho kimenishangaza na sikuamini kwamba angefikia hatua ya...
5 Reactions
97 Replies
9K Views
Siku hizi imekua ni kawaida pindi unapomtongoza mwanamke lazima kabla hajakukubalia ombi lako atapeleleza na kujua unafanya kazi gani na ofisi gani na mpaka anakukubalia ombi lako jua kabisa...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Heshima kwenu Hata tusipoenda kula tunda hayo machache tu naridhika, Ama Kwa hakika naweza nisiwe peke yangu mwenye kupenda vilivyotajwa hapo juu Naamini tuko wengi muno si Wazee wala Vijana...
1 Reactions
73 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…